Cha ajabu wanaume wanaojisifia kutembea na vitoto ndio hao hao wanalaani vile vitoto vilivyomaliza F4 mambo waliyokuwa wanaongea!
Nimejutia kufunga biashara 2017 nikaenda kufanya kazi, Hakuna a single incedent kwenye mahusiano nimeijutia, Huwa nafanya kile tu kinachonipendeza mimi na hakuna majuto kwenye maamuzi yangu.Sikulishi maneno, halafu sijasema kuwa yote uliyofanya haukutaka ila ninaamini kuwa Kuna maamuzi mengi mno kwenye mahusiano na hata kwenye mambo mengi tu uliyafanya kwa hiari yako ila baadae ukayajutia
Kwani ukomavu wa akili unaanzia wakati gani kwa binadamu?Bado ni mtoto Kwa maana ya ukomavu wa kiakili.hawezi kumudu changamoto
Bado kuwa mke kuingia kwenye majukumu ya mke,mama labda apate wasimamizi
Bora unisaidie jamani nimechoka 😂💔Mtu mzima anaanzia miaka 18. Chini ya hapo bado anahesabika mtoto. Kama tafsiri yako ya mtu mzima ni umbo na mabadilko ya kibailojia sawa muite uonavyo inafaa.
Mwanamke Malika huvitia,maziwa wima,ngozi teke,k bado ogLicha ya Sheria lakini bado tu hamkomi.
Wengine wengi wamefungwa. Ndio kubet ama vipi?
Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao wiki nzima nyumbani haonekani wala shuleni haonekani.
Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo. Wakajua kapotea kumbe kafungiwa kinyumba kwa boda hapohapo mtaani kamgeuza mkewe.
Kwa Hali kama hii atarajie Nini? Hata kama binti kakukubali unashindwa kutumia akili?
Akifungwa atakuwa kaonewa?
Hata hiyo kufunga biashara napo usijutie kwasababu ulifanya kwa utashi wakoNimejutia kufunga biashara 2017 nikaenda kufanya kazi, Hakuna a single incedent kwenye mahusiano nimeijutia, Huwa nafanya kile tu kinachonipendeza mimi na hakuna majuto kwenye maamuzi yangu.
Niletee wadogo zako niwalee utaona watakuwa wanawake wa aina gani.
Hiyo ya miaka 18 ni kwa mujibu wa nani?Mtu mzima anaanzia miaka 18. Chini ya hapo bado anahesabika mtoto. Kama tafsiri yako ya mtu mzima ni umbo na mabadilko ya kibailojia sawa muite uonavyo inafaa.
Nani amekwambia ilikuwa kwa utashi wangu? Au nililazimika kufanya hivi? Huelewi mambo mengi sana bado unahitaji kujifunza.Hata hiyo kufunga biashara napo usijutie kwasababu ulifanya kwa utashi wako
Ukomavu wa akili wa binadamu unategemea mazingira. Mtoto alielelewa USA hawezi kukomaa akili muda ule ule kama alielelewa Namtumbo. Ndio maana 18yo ndio inatambulika utu uzima unapoanzia ingawa kuna nchi age of consent is as low as 16yo. Sisi Tz ni 18yo ukifanya mapenzi na huyo mtoto chini ya 18yo hata akikubali hio ni statutory rape.Kwani ukomavu wa akili unaanzia wakati gani kwa binadamu?
Kumbe ulishikiwa kufanya biashara?Nani amekwambia ilikuwa kwa utashi wangu? Au nililazimika kufanya hivi? Huelewi mambo mengi sana bado unahitaji kujifunza.
Tofautisha choice na circumstances zinazokulazisha ufanye jambo fulani.
Again this’s not about me, I hope umeshaeleewa mpaka sasa kuvunja ungo sio sawasawa na kuwa mtu mzima, ndio ilikuwa main point…
Naona comprehension ni rocket science 🤣Kumbe ulishikiwa kufanya biashara?
Kwahiyo mfano binti wa kitanzania mwenye miaka 17 akihamia hizo nchi ambazo wanatambua miaka 16 je atahesabiwaje huko?Ukomavu wa akili wa binadamu unategemea mazingira. Mtoto alielelewa USA hawezi kukomaa akili muda ule ule kama alielelewa Namtumbo. Ndio maana 18yo ndio inatambulika utu uzima unapoanzia ingawa kuna nchi age of consent is as low as 16yo. Sisi Tz ni 18yo ukifanya mapenzi na huyo mtoto chini ya 18yo hata akikubali hio ni statutory rape.
Namba zao za mitihani ziko wazi tutaangalia matokeo yao yakitoka cha kushangaza watafaulu alafu ndio mtajua kwamba jamii imeshindwa malezi.
Tunapenda dogodogo tuu, hakuna cha zaidi.Licha ya Sheria lakini bado tu hamkomi.
Wengine wengi wamefungwa. Ndio kubet ama vipi?
Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao wiki nzima nyumbani haonekani wala shuleni haonekani.
Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo. Wakajua kapotea kumbe kafungiwa kinyumba kwa boda hapohapo mtaani kamgeuza mkewe.
Kwa Hali kama hii atarajie Nini? Hata kama binti kakukubali unashindwa kutumia akili?
Akifungwa atakuwa kaonewa?
Alikimbia Nini Sasa?Kuna bwana mdogo alikimbia na kuacha ajira ya kudumu sababu ya binti wa kidato cha 2. Angechelewa kidogo ilikuwa anakula mvua ya miaka 30,alitumia wasuluhishi na kupenyeza pesa ikashindikana.
Lose yourself 😄Watoto wabichibichi Wana sweetness ambayo ni unique sana
Bado unarukaruka sana vipi na mimi nichanganye na kiarabu kwasababu ndio lugha naijua vizuri sana.... japo mimi ni mmakonde tu ila ni ulimbukeni mno nichanganye kiswahili na kiarabuNaona comprehension ni rocket science 🤣
Nilikuwepo ✌🏻
Kuchanganya lugha sio ulimbukeni ni namna ya mtu anavyoweza kuandika kirahisi anapotafuta maneno ya kuandika.Bado unarukaruka sana vipi na mimi nichanganye na kiarabu kwasababu ndio lugha naijua vizuri sana.... japo mimi ni mmakonde tu ila ni ulimbukeni mno nichanganye kiswahili na kiarabu