Mnachihanguu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 266
- 331
Kuchanganya lugha ni ulimbukeni mno kwasababu lugha ya kiswahili haina uhaba wa maneno kiasi hicho....Kipimo cha kumpima mtu kuwa na akili ndogo inategemea umeegamia upande gani kwasababu hata mimi naweza kusema wewe uliezini bila ndoa una akili ndogo sanaKuchanganya lugha sio ulimbukeni ni namna ya mtu anavyoweza kuandika kirahisi anapotafuta maneno ya kuandika.
Ndio unaweza andika kiarabu pia, kikubwa jitahidi kucomprehend unapomsoma mtu. Kushindwa kucomprehend kunahusishwa na level ndogo ya akili.
Turudi kwenye mada, Acha kumjadili mtu unajua ni dalili ya nini.
Hakuna wa kufaulu hapoNamba zao za mitihani ziko wazi tutaangalia matokeo yao yakitoka cha kushangaza watafaulu alafu ndio mtajua kwamba jamii imeshindwa malezi.
Nimekurudisha kwenye mada hutaki, una gubuuuuu!Kuchanganya lugha ni ulimbukeni mno kwasababu lugha ya kiswahili haina uhaba wa maneno kiasi hicho....Kipimo cha kumpima mtu kuwa na akili ndogo inategemea umeegamia upande gani kwasababu hata mimi naweza kusema wewe uliezini bila ndoa una akili ndogo sana
Nilichokueleza tangu mwanzo ndio ukweli halisi kwamba mwanamke akishavunja ungo huyo ameshapevuka hata wewe mwenyewe ulianza sex baada tu ya kuvunja ungoNimekurudisha kwenye mada hutaki, una gubuuuuu!
Unachokikazania sio cha msingi na hakihusiani na mada.
Walimu wako walikuwa na kazi sana.Nilichokueleza tangu mwanzo ndio ukweli halisi kwamba mwanamke akishavunja ungo huyo ameshapevuka hata wewe mwenyewe ulianza sex baada tu ya kuvunja ungo
Umenielewa wewe na nani? Wewe ni single mother bila shakaWalimu wako walikuwa na kazi sana.
Haya tumekuelewa.
😂😂😂 Ni kweli mimi ni single mother.Umenielewa wewe na nani? Wewe ni single mother bila shaka
Nilijua tu😂😂😂 Ni kweli mimi ni single mother.
😂😂😂 Akili zako wewe! Sijakosea kuassume una akili ndogo mkuu, no offense!Nilijua tu
Nina akili ndogo kuliko nani?😂😂😂 Akili zako wewe! Sijakosea kuassume una akili ndogo mkuu, no offense!
Kuliko mtoto aliyevunja ungo.Nina akili ndogo kuliko nani?
Mtoto havunji ungoKuliko mtoto aliyevunja ungo.
Wanawake wa aina yako haifai kabisa mwanaume umruhusu mkeo amzoee mtu kama wewe na mwenzio Joyce KiriaKuliko mtoto aliyevunja ungo.
Una ni quote mara mbili mbili dawa imekuingia vizuri. Mi na mkeo tukae tunafanya nini? Mi nina marafiki zangu.Wanawake wa aina yako haifai kabisa mwanaume umruhusu mkeo amzoee mtu kama wewe na mwenzio Joyce Kiria
Mimi ni mwanaume dawa inaniingiaje?single mother ni wenye hasira mno kwasababu mulichezewa sana mpaka mukazalishwa tena bila ndoa kwahiyo huwa munapenda kuwaharibia wenzenu ili muwe sawaUna ni quote mara mbili mbili dawa imekuingia vizuri. Mi na mkeo tukae tunafanya nini? Mi nina marafiki zangu.
Kwahiyo mwanamke ni mbaya akikwambia usitembee na watoto? Kama ndivyo nakubali hiyo title, mi ni mwanamke mbaya.
Reasoning zako ni mbovu sana, Unaamini kilaMimi ni mwanaume dawa inaniingiaje?single mother ni wenye hasira mno kwasababu mulichezewa sana mpaka mukazalishwa tena bila ndoa kwahiyo huwa munapenda kuwaharibia wenzenu ili muwe sawa
Mbona wewe ulianza wakati unasoma tena bila ndoa? Mbona una wivu?Reasoning zako ni mbovu sana, Unaamini kila
aneyeadvocate msitembee na watoto waacheni wasome wakue ni single mother na alichezewa utotoni, Your sense of reality is messed up.
Kwamba hamuwezi kuwasubiri hao watoto wakue wafike vyuo vya kati angalau muwaoe?
Ondoa neno wivu hapo tujadili kama watu wazima wenye akili timamu.Mbona wewe ulianza wakati unasoma tena bila ndoa? Mbona una wivu?
Una uhakika ulianza na miaka 24?Ondoa neno wivu hapo tujadili kama watu wazima wenye akili timamu.
Miaka 24 we ulikuwa unasoma darasa la ngapi? Au umesoma memkwa.
Unless kama wewe ndio una uhakika.Una uhakika ulianza na miaka 24?