Mwanaume, Nini kinachangia utembee na mwanafunzi, tena under 18?

Itungwe sheria mwanaume akikutwa na mwanamke wafungishwe ndoa ya lazima.
 
Ni kuishi kwa mazoea tu. Unatongoza mnaanza kukulana mnanogewa mchezo mnaanza kuoneana wivu. Binti anaona ataibiwa bwana anaamua kuforce waishi wote
 
Ujinga tuu, most of them ni uwezo wa kuposh good girls size yao.
 
Binti ambae amefunzwa , ana hofu ya mungu, na heshima kwa wazi wakekatu hawezi kwenda kulala kwa mwanaume
Makosa ya wazazi wa mabinti wanapewa vijana wa kiume
 
Itungwe sheria mwanaume akikutwa na mwanamke wafungishwe ndoa ya lazima.
Unamhangaikia mtoto wako aje kuwa na career yake kama doctor au mwanasheria
Akiwa na miaka 14 form two anashawishiwa na mvuta bangi mmoja anafumaniwa nae..utakubali kumfungisha nae ndoa?
 
Bodaboda akili zao wanazijua wenyewe.
 
nina watoto watano wote men
Kwa hiyo Kwa sababu huna watoto wa kike ndo maana unaona ni sahihi kuharibu watoto wa wenzio ?
Vip siku ukija kusikia Kuna mtu mzima kama ww anamla matako huyo mtoto wako Kwa ushawishi wa vipesa kama ww unavyo haribu watoto wa wengine utajisikiaje?
Ebu tupunguze upumbavu yaani huoni aibu jitu Zima la miaka 40 kushawishi kibinti cha miaka 14_15 ili ulale nacho kutimiza tamaa zako za mwili?
Alafu mkimaliza eti ccm ni mashetani Kuna shetani zaidi ya mtu mwenye mawazo ya kipumbavu kama ww.
 
Ni kuishi kwa mazoea tu. Unatongoza mnaanza kukulana mnanogewa mchezo mnaanza kuoneana wivu. Binti anaona ataibiwa bwana anaamua kuforce waishi wote
Mabinti wa hivyo ni hasara
Ndio hawa unakuta hawaambiliki
 
Weeee ccm unawalinganisha na malaya wa ngono mzee! ccm ni zaidi ya shetani! kama ulitaka tungumze hapo ndio umeharibu aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…