Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Aisee hapo parefu sanaCreed aventus, hapo sija kutajia version ya royal service kudadadeki π€£ π€£.
min -me, Black Sniper hii ya moto, hasa Ile royal
Hapo sasaIla sasa kama fake ina nukia hivi how og ?
Kwa vile ndugu yetu Kipenzi Changu kaomba recommendation, basi aishi nayo πAisee hapo parefu sana
Perfume ya over Β£100 sinunui kabisa labda kwa mama tu π
Wazungu washenzi sana mchina ashukuriweHapo sasa
Ila Wazungu nao wamezidi kwa bei zao huku
Mpaka wamefundisha na Waarabu biashara
Zamani Uarabuni unapita unabebe kwa bei rahisi na ni og
Ila sasa nao wanauza kama Ulaya tu
Hii Armani niliuziwa β¬80 Hamburg mwezi uliopitaWazungu washenzi sana mchina ashukuriwe
Hii ina kaa kwenye nguo mda gani?
Ndio ubinadamu ila mtu akiwa na perfume kali siwezi kukaa nae sehemu moja muda mrefuAhahah kweli tupo tofauti
Unajua huku tunatumia marashi kutegemea na hali ya hewaHii ina kaa kwenye nguo mda gani?
ππ mimi napenda harufu kali ila nzuriNdio ubinadamu ila mtu akiwa na perfume kali siwezi kukaa nae sehemu moja muda mrefu
Unajua huku tunatumia marashi kutegemea na hali ya hewa
Kama ni baridi kuna aina zake na kama ni joto kuna aina zake pia
Ila wengine huchanganya zote
Hii nilinunua wakati wa baridi na inanukia vizuri na inakaa hata siku mbili
Ila ukiitumia kwenye joto inafifia haraka
Wanatupasua vichwa tu
Kweli kabisa kila mmoja na ladha yakeNdio ubinadamu ila mtu akiwa na perfume kali siwezi kukaa nae sehemu moja muda mrefu
Mafuta ya kupaka natumia ya kawaida ila kwenye perfume napenda zile kalii kabisaKweli kabisa kila mmoja na ladha yake
Wengine wanapaka mafuta kama ya maiti na anaona fresh tu
Kama kwenye bus nashuka na begi langu kabisa ππ
Kuna perfume nilinunuaga inaitwa Prada.. ts laki moja... na GucciHelll
Mwanaume mwenzangu ambaye bado ujajua perfume nzuri zitakazo kufanya uonekane mtanashat na kunukia vizuri wakati wote mimi natumia hizi mbili
Hii natumia kama sehemu ninako enda hakuna kusanyiko kubwa la watu wengi sana hii ndio natumia au safari za kawaida bei 50000
View attachment 3403558
Hii ya pili natumia kama sehemu niendayo kama kuna kusanyiko kubwa la watu yaani watu wengi kama vile harusini mikutanoni hii nasikika mwenyewe tu hii harufu yake kali na ina kaa mda mrefu sana so ukitumia hii unakuwa wa kipekee kabisa yaani perfume zingine hazitosikika itasikika yako tu bei yake kuanzia 50000 inategemea na duka
View attachment 3403560
Haya leteni perfume zingine ambazo zipo vizuri sana kwa mwanaume
Zile kali zenye Harufu nzuri ni za baridi ndio utazifaidiMafuta ya kupaka natumia ya kawaida ila kwenye perfume napenda zile kalii kabisa
120kBei yake
Hizo ndio parfumeKuna perfume nilinunuaga inaitwa Prada.. ts laki moja... na Gucci
Labda kila mwezi ninunue moja mpaka zitimieRuka urukavyo ila bila kuwa na vichupa og vya Sauvage Dior, Bleu de Chanel, Acqua Di Gio, Creed, Yves Saint Laurent you will never turn women on