Mwanaume tafuta pesa, wanawake wazuri utawapata bila kujalisha una miaka mingapi

Waambie mkuu, Mimi mwenyewe bado sijazishika ila Demu wangu nimemzidi miaka 16, je nikijakuzishika sawasawa itakuwaje?
 
Sahihi kabisaa..
 
Sijui kama mwaka utaisha vizuri kwa mtindo huu ila hivi visichana vidogo unaweza ukakojoa hadi povu
 
Hao ova 30 tuachieni sie, hamuwawezi kabisa. Yaani nikutane na mdada mzuri ana 39-45 nimuache, hawa ni watamu kuliko, hawana kufake wala hawakupi gono na uti. Mkikaa sehemu mnaongea vinaeleweka, hivi nakaa na mtu sehemu tunaanza kuongea unashangaa story za wasanii na nyimbo hata huelewi nini kitoto kinaongea.
 
Yani niteseke na upwiru Miaka 80, halafu sukari ikianza kuzingua ndio nioe. Huyo mke au msimamizi wa mirathi
🀣🀣🀣 wanatafuta wa kuwalia mafao mkuu waache wajifariji, me wanaamini kuwa miili yao in function forever
 
Kuna wanawake wapo kwenye mahusiano na wanaume wenye umri mkubwa wasio na pesa
 
🀣🀣🀣 dah! Uyo wamiaka 80s aiseee akijitaidi n kimoja cha jogoo sasa hapo ndyo utajua pesa ainaguvu kama umri umesha gonga 70s
 
Sawaa mkuu tumekuelewaa ☺️
 
Aisee we jamaa unapenda sana ngono nadhan chuo kikuu kungekua na course za ngono BILA SHAKA GPA YAKO INGEISIMAMISHA DUNIA πŸ˜‚πŸ˜†
Sasa chakushangaza mie chuo ndio nilikiwa bwege na domo zege wakutupwa....nimekuja kula mbususu mwaka wangu wa mwisho tenanhiyo ni asante mig33...enzi hizo badoo bado haijaingia alikuwa anatamba mig33
 
Aisee we jamaa unapenda sana ngono nadhan chuo kikuu kungekua na course za ngono BILA SHAKA GPA YAKO INGEISIMAMISHA DUNIA πŸ˜‚πŸ˜†
Natamani sana nirudi chuo nikasome kozi yoyote tuu niwe mazingira ya chuo niwe nawagegeda tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…