Mwanaume tajiri anafaidika vipi na ndoa zaidi ya ngono tu?

Hili sakata la mashoga linakua kwa kasi sana eti mwanaume kabisa anauliza mwanaume anafaidikaje na ndoa kisa anapata mwanamke anapohitaji
una jiandaa kuwekwa ndani na mwanaume mwenzako nini?

maana swali limekaa kibendera bendera
 
Kwani una sh ngapi kwanza?
Hebu weka bank balance zako za benk hata mbili tu lacal na currency tukusaminishe.
Ukute una salio la mpesa tu halafu unachezea wino wetu hapa.
 
Stress tu ukiwa na Pesa usipende kukaa karibu na wanawake hasa Hawa wabongo

Afya yako ya Akili ni muhimu kuzidi kataa ndoa
 
'Tendo la ndoa', halipatikani nje ya ndoa, hata kama analipata.
 
Hafaidiki chochote zaidi ya kujitafutia stress...

Jeff bezos, Billgate Kanye west waliachana na wake zao waka move on na life lao.

Elon musk hajaoa,

Ndoa ni stress.
Si kwamba wameachana na hiyo biashara, bali wako na watu wengine. Kubadilisha butcher, nyama ile ile.
 
familia nzuri.ili kuwa na familia Bora hunabudi kuishi kwenye ndoa
hatakama una tilioni kazaa lakini watoto unazaa hovyo bila ndoa utazaraulika tuu kwenye uzao wako wanao watakuhisi wee ni muhuni tuu na kunasehem watakuona unapwaya hasa wakike.
 
Sikuzote mkeo ni ubavu wako mkuu,na biblia haijasema mbavu nyingi ...Yaan wanawake wengi...maana nijuacho pesa itakufanya uwe na wanawake wengi Kwa kubadilishabadilisha

Inakuwaje mtu mmezaliwa na wazazi tofauti na hauna hata ukoo nae nae mmekutana ukubwani halafu awe ubavu wako??? Hii concept kwamba mke ni ubavu wa mume wake ni ya kipumbavu na haimake sense hata kwa mtu kichaa.

Back to the topic.

Kuwa tajiri na kukaribisha wanawake wengi tofauti tofauti kwenye maisha yako ni hatari zaidi ya ukoma.

Ukijaaliwa kuwa tajiri option salama kwako kuhusu mapenzi ni 2.

1- Nenda kijijini kwenu /kwenu ulikozaliwa, washirikishe wazee kuhusu mke bora, chagua yule watakaem-suggest kwako na wewe ukamuelewa..OA!! Linapokuja swala la kuoa muonekano wa mwanamke huwa sio kipaumbele. Kipaumbele ni SIFA NA TABIA za mwanamke husika.


2- Kama kuoa kwako sio big deal, kausha mambo ya mademu yasiwe kipaumbele sana, chagua girl friend mmoja tu kwa wakati..halafu asikujue saana..la sivyo UTAKUWA HATARI I UKIENDEKEZA WANAWAKE
 
Asante kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…