Mwanaume tajiri anafaidika vipi na ndoa zaidi ya ngono tu?

kwenye ndoa anatafuta watoto kwa asilimia kubwa tofauti na kuzalia nje ya ndoa
 
Bila shaka wewe hujaoa, na hujajua nini maana ya kuwa na mke wako, kijamii, kimaisha na kiserikali hata kiuchumi pia. Public acceptance inaanza kwenye kuwa na mke au Mume Kwa mwanamke. Reputation.
 
Embu fafanua mkuu
Bila shaka wewe hujaoa, na hujajua nini maana ya kuwa na mke wako, kijamii, kimaisha na kiserikali hata kiuchumi pia. Public acceptance inaanza kwenye kuwa na mke au Mume Kwa mwanamke. Reputation
 
Ngono bila familia utaacha legacy gani...
 
Vp kupata mwanamke ambaye atakuzalia uzao mwema?! Huyu nae utakwenda kumnunua kidimbwi au exotic?
 
Furaha kamili ya binadamu yeyote imo katika familia. Ukiwa na fedha bila familia furaha yako haikamiliki.
 
Ndoa ni mpango wa Mungu.Ndoa ni taasisi Takatifu Kwasababu ndiko watu bora huzaliwa kulelewa na kuwa wenye manufaa kwa jamii,Kwenye ndoa tunapata Viongozi wa dini,Serikali,Watumishi wa Umma,Wazazi wema(Responsible paeents).Wewe sio ng'ombe ujiishie tu bila utaratibu.Pesa zikiisha na ukazeeka na kudhoofu kiafya utakosa mtu wa kukuhudumia kwa Karibu.Unachopanda ktk Maisha haya ndicho utachovuna.
 
Acha fantasies kijana, ishi kwenye ulimwengu wakweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Pia acha dharau kwa wanawake, kwaujumla hapa unalenga kumponda mwanamke nasio kuonyesha logic kuwa mwanaume hamuitaji mwanamke. Ishi kwenye ulimwengu wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama anavyofaidika suga mami au mama mwenye uchache kuliko mumewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…