Mwanaume ukifanya kazi hizi wanawake lazima wakupende

1. Uhasibu
2. Bank
3. Urubani
4. Udaktari
5. Uaskari
6. Mfanyabiashara
Inategsmea na kipato jombaa,
Uwe muhsibu unalipwa 700K,upendwe zaidi kuliko kijana anafanya music production anakunja ,2.5M??!!haiwezekani,
Vigezo vingine vikibaki constant,mtoto wa kike anarogeka na ndinga!!na hapa ndinga simaanishi Vitz,au IST,au corola!!!zingine zile
 
Hahahahah sie wazee wa "Sumu ya panya mende kiroboto" tutaweka wapi sura zetu jamani 😂😂😂
Wauza chips
Bodaboda
Mameneja wa bar
Wamiliki wa gesti..
Maofisa mikopo .
Waajiri..
Madereva taxi..
Wauza nguo za kike ..
Wapambe WA wenye nyumba za kupangisha...

Orodha ndefu tu
 
Hela ndio ya msingi na sio aina ya kazi.
Hahahah kwahio tumekubaliana mnapenda hela tu 😂😂😂 ila huwa mnabugi kwa sababu wale ma banker hela sio zao. Wao wanakula 450 tukatika malundo yote yale.

Sema nahisi huwa benki inatoaga budget ya shopping ya viatu saa kali na mashati 😂😂😂 sijawahi kumuona officer wa bank mchafu mchafu
 
Hii ni kweli kila mwaka tunapewa hela za shopping hatuwezi kuwa wachafu wachafu hahahaha
 
Hahahah kwahio tumekubaliana mnapenda hela tu 😂😂😂 ila huwa mnabugi kwa sababu wale ma banker hela sio zao. Wao wanakula 450 tukatika malundo yote yale.

Sema nahisi huwa benki inatoaga budget ya shopping ya viatu saa kali na mashati 😂😂😂 sijawahi kumuona officer wa bank mchafu mchafu
Tangu nilijue hili nawahurumiaga wanaume wanaofanya kazi benki sio siri, kushika shika hela za wenzao wakati wao apeche alolo, ila wateja wao wanawaona mambo safi kisa kupiga bling bling, lazima upate mfadhaiko wa akili😂
 
Back
Top Bottom