Mwanaume ukifanya kazi hizi wanawake lazima wakupende

Mwanaume ukifanya kazi hizi wanawake lazima wakupende

1. Uhasibu
2. Bank
3. Urubani
4. Udaktari
5. Uaskari
6. Mfanyabiashara
Dah...... Yaani mmekwisha badilisha! Miezi 6 Sasa... Nimeajiri mtaalam wa lishe na mtaalamu wa mazoezi....nimetumia gharama kubwa kununua vifaa....halafu nimetengeneza siksipaki tayari nyie mnakuja kubadilika ghafla....hii haikubaliki....nitadai haki yangu 😳
 
Upendo ni dhana tata Sana!!

Hao walimu mnao wadharau sijui ni hawa hawa au wa dunia nyingine!

Uwalimu ni kada ya tatu KWA mishahara mikubwa nchini baada ya afya na sheria!

Dhana ya upendo haitegemei kazi bali mvuto wa asili wa nafsi kupelekwa mwingine!wengi tumeona Sana HII KITU mitaani!!!
 
Hayana formula,

Masanja anahela lakini mama mchungaji alikuwa anatoa mbwa na katibu wa kanisa la mume wake.

Unaweza ukawa na hela kama zote lkn show wanapiga wengine
 
Back
Top Bottom