Mwanaume ukifanya kazi hizi wanawake lazima wakupende

Mwanaume ukifanya kazi hizi wanawake lazima wakupende

Tangu nilijue hili nawahurumiaga wanaume wanaofanya kazi benki sio siri, kushika shika hela za wenzao wakati wao apeche alolo, ila wateja wao wanawaona mambo safi kisa kupiga bling bling, lazima upate mfadhaiko wa akili😂

Inategemea na bank...kuna bank mfanyakazi anakopa zaidi ya milioni 50 na riba asilimia 9 Tu.....sio malofa kihivyo
 
Hahahah kwahio tumekubaliana mnapenda hela tu 😂😂😂 ila huwa mnabugi kwa sababu wale ma banker hela sio zao. Wao wanakula 450 tukatika malundo yote yale.

Sema nahisi huwa benki inatoaga budget ya shopping ya viatu saa kali na mashati 😂😂😂 sijawahi kumuona officer wa bank mchafu mchafu
Bwana muhimu ni pesa, mengine mbele kwa mbele.
 
wanawake hata uwe mchawi na ukasema wewe mchawi sana ila tu uwe na hela

watajazana hapo foleni
 
1. Uhasibu
2. Bank
3. Urubani
4. Udaktari
5. Uaskari
6. Mfanyabiashara
Wanawake wanataka pesa tu; mzibua mitaro/vyoo, msukuma toroli,mbeba maji/taka, mbeba mizigo, mchonga masanduku/jeneza, fanya mochwari, mwizi, muosha magari au utumbo wa kuku cha muhimu pesa mbele.
 
Tangu nilijue hili nawahurumiaga wanaume wanaofanya kazi benki sio siri, kushika shika hela za wenzao wakati wao apeche alolo, ila wateja wao wanawaona mambo safi kisa kupiga bling bling, lazima upate mfadhaiko wa akili😂
Pale mwanachuo hachomoki😂
 
Hata sie migambo tunaokamata mama ntilile na wachoma mahindi kumbe tunapendwa eeeheee!!!.
Mhudumu leta Kveve kubwa
IMG-20221006-WA0018.jpg
 
Back
Top Bottom