Mwanaume ukifanya kazi hizi wanawake lazima wakupende

Tangu nilijue hili nawahurumiaga wanaume wanaofanya kazi benki sio siri, kushika shika hela za wenzao wakati wao apeche alolo, ila wateja wao wanawaona mambo safi kisa kupiga bling bling, lazima upate mfadhaiko wa akilišŸ˜‚

Inategemea na bank...kuna bank mfanyakazi anakopa zaidi ya milioni 50 na riba asilimia 9 Tu.....sio malofa kihivyo
 
Bwana muhimu ni pesa, mengine mbele kwa mbele.
 
wanawake hata uwe mchawi na ukasema wewe mchawi sana ila tu uwe na hela

watajazana hapo foleni
 
1. Uhasibu
2. Bank
3. Urubani
4. Udaktari
5. Uaskari
6. Mfanyabiashara
Wanawake wanataka pesa tu; mzibua mitaro/vyoo, msukuma toroli,mbeba maji/taka, mbeba mizigo, mchonga masanduku/jeneza, fanya mochwari, mwizi, muosha magari au utumbo wa kuku cha muhimu pesa mbele.
 
Tangu nilijue hili nawahurumiaga wanaume wanaofanya kazi benki sio siri, kushika shika hela za wenzao wakati wao apeche alolo, ila wateja wao wanawaona mambo safi kisa kupiga bling bling, lazima upate mfadhaiko wa akilišŸ˜‚
Pale mwanachuo hachomokišŸ˜‚
 
Hata sie migambo tunaokamata mama ntilile na wachoma mahindi kumbe tunapendwa eeeheee!!!.
Mhudumu leta Kveve kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…