Mwanaume ukifika miaka 30 hakikisha una moja kati ya hivi

Mwanaume ukifika miaka 30 hakikisha una moja kati ya hivi

Nyuzi kama hizi si tulikubaliana mwisho 2024? Mleta uzi elewa maisha hayana kanuni. Mimi nili-graduate nikiwa na miaka 23 nikawa nashangaa mtu anafikaje miaka 30 hana nyumba, gari, familia wala Masters? Baada ya graduation nilianza vizuri maisha ya kitaa hasa kwenye ujasiriamali. Mabalaa yalianza nilipoigusa 26yrs... hadi kufika 28yrs nilijikuta niko naishi kwenye chumba kimoja maeneo ya Landabaa Kigogo huku nikiwa namiliki godoro tu na jiko la mchina. Kuja kusimama tena ilipita miaka mingine kadhaa... ACHA HIZO FIKRA POTOFU.
 
Nyuzi kama hizi si tulikubaliana mwisho 2024. Mleta uzi elewa maisha hayana kanuni. Mimi nili-graduate nikiwa na miaka 23 nikawa nashangaa mtu anafikaje miaka 30 hana nyumba, gari, familia wala Masters? Baada ya graduation nilianza vizuri maisha ya kitaa hasa kwenye ujasiriamali. Mabalaa yalianza nilipoigusa 26yrs... hadi kufika 28yrs nilijikuta niko naishi kwenye chumba kimoja maeneo ya Landabaa Kigogo huku nikiwa namiliki godoro tu na jiko la mchina. Kuja kusimama tena ilipita miaka mingine kadhaa... ACHA HIZO FIKRA POTOFU.
Duh! Noma sana
 
Back
Top Bottom