Mwanaume ukifika miaka 30 hakikisha una moja kati ya hivi

1-Kazi/ajira ya kueleweka .
2-Familia
3-Assets kama nyumba,kiwanja n.k

zama za kufarijiana kwa wanaume zimepitwa .
30 ndio umri wa majuto juu ya yale makosa ambayo uliyafanya kwenye mahusiano, juu ya makosa ambayo uliyafanya kwenye zile fedha ambazo ulipata bahati ya kuzipata mapema ila ukazichezea zote kwenye starehe zikaisha bila kufanya la maana,

Juu ya mimba uliyomjaza huyo dada wakati huna hata mia ya kuhudumia, juu ya magonjwa ya zinaa uliyoyapata baada ya kujifanya mgambo kwa maana ya kutembeza rungu Kila pahala.

Juu ya kupotezewa muda na yule mshangazi aliyekuwa anakulea na ukawa unajiona uko na bahati ukabweteka na kusahau kutengeneza maisha yako binafsi na badala yake umetimuliwa huna kitanda wala godoro na umri umeenda kurudi nyumbani huwezi so upo unasumbua sumbua jamaa zako wakupe hifadhi ya pahala pa kulala.

Kwahiyo kwa hoja yako iko kwa wachache sana ila kwa walio wengi umri huo bado sana na hayo niliyoandika hapo juu ni kwa wale ambao walianza kuishi maisha ya uhuru mapema ila wale waliochelewa hiyo miaka 30 kwao ndio kuna kucha na watakuja kushtuka 35 huko.
 
niko na 38 yrs nmegundua tunahitaji wanaume watakao jitambua mapema mapema
Bila shaka hiki kitakuwa kitoto cha 2000’s
 
Cha msingi uwe na Yesu tu
Hallelujah
Mungu akubariki sana sana
Hivyo vingine ni ziada ya maisha japo ni muhimu sana .
Maisha tunayatafuta moaka tunakufa
Nilipokuwa sina hivyo vyoote niliangaika kuvutafuta lakini mungu aliweka ndani ya mwanadamu ham ya kutafuta kitu na si kingine ila kumtafuta yeye
 
Back
Top Bottom