proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
we me au ke
Acha kututamanisha wengine unajua kabisa napenda pumbuh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kututamanisha wengine unajua kabisa napenda pumbuh
Vijana wanaotokea Familia za kifukara wakifanikiwa kidogo tu huwa Wanaingia mitandaoni kuonyesha ushamba waoVijana wanajidanganya sana wakiwa na kiwanja cha miguu mitano kwa mitano na kibiriti cha kutembelea wanaona wenzao wanacheza.
Ndiyo kilichokuja kumkuta Chief Godlove ,alijiona ana pesa sana siku alivyoenda kwa Lugumi akajiona ni masikini wa kutupwa na Lugumi akampa milioni 10 akatoe offer kwa wanywaji bar...yeya akigaia boda boda laki 2 kwa kuzirusha juu alikuwa anajiona ana fedha.
Maisha ni kuridhika ,Wahadzhade wameridhika na maisha yao ya kijijini ,hajui S24 Ultra wala,G wagoni "blablasi" au "Meibaki" ila wanaishi kwa furaha ,same na sisi ,chumba kimoja ,simu ina afu tatu ,ndani una kilo moja ya sembe maisha yanaenda fresh.
Kidogo chetu mimi na wewe kikubwa cha BALABUU ,mali zao zisifanye upagawe.
Kabisa aisee....maisha yana mengiNyuzi kama hizi si tulikubaliana mwisho 2024. Mleta uzi elewa maisha hayana kanuni. Mimi nili-graduate nikiwa na miaka 23 nikawa nashangaa mtu anafikaje miaka 30 hana nyumba, gari, familia wala Masters? Baada ya graduation nilianza vizuri maisha ya kitaa hasa kwenye ujasiriamali. Mabalaa yalianza nilipoigusa 26yrs... hadi kufika 28yrs nilijikuta niko naishi kwenye chumba kimoja maeneo ya Landabaa Kigogo huku nikiwa namiliki godoro tu na jiko la mchina. Kuja kusimama tena ilipita miaka mingine kadhaa... ACHA HIZO FIKRA POTOFU.
Kama hana aanze kuvaa sketi?1-Kazi/ajira ya kueleweka.
2-Familia
3-Assets kama nyumba,kiwanja n.k
zama za kufarijiana kwa wanaume zimepitwa .
Huyuu bado mtotoNyuzi kama hizi si tulikubaliana mwisho 2024. Mleta uzi elewa maisha hayana kanuni. Mimi nili-graduate nikiwa na miaka 23 nikawa nashangaa mtu anafikaje miaka 30 hana nyumba, gari, familia wala Masters? Baada ya graduation nilianza vizuri maisha ya kitaa hasa kwenye ujasiriamali. Mabalaa yalianza nilipoigusa 26yrs... hadi kufika 28yrs nilijikuta niko naishi kwenye chumba kimoja maeneo ya Landabaa Kigogo huku nikiwa namiliki godoro tu na jiko la mchina. Kuja kusimama tena ilipita miaka mingine kadhaa... ACHA HIZO FIKRA POTOFU.
Amen,hata walikuwa navyo Awana furahaHallelujah
Mungu akubariki sana sana
Hivyo vingine ni ziada ya maisha japo ni muhimu sana .
Maisha tunayatafuta moaka tunakufa
Nilipokuwa sina hivyo vyoote niliangaika kuvutafuta lakini mungu aliweka ndani ya mwanadamu ham ya kutafuta kitu na si kingine ila kumtafuta yeye
Yuko Beach sa hhajasoma Poor Brain
Sikuoni darajani mkuuu umekimbia kabisaaaNiaje mkuu
Hahahaaa!!Cha msingi uwe na Yesu tu
Mindset ya wachache sana hii, Wengine wanadai kwamba wanataka kuolewa na Man mwenye Pesa, Appartment, Nyumba, Gari nkNitajenga na ataekuwa mumewangu tusitishane 😀