Mwanaume ukifika miaka 30 hakikisha una moja kati ya hivi

Mwanaume ukifika miaka 30 hakikisha una moja kati ya hivi

Hapo nina kimoja tu ambayo ni familia nayo nampango wa kuikimbia huu mwaka maana mwanamke haeleweki

Viwanja ningekuwa navyo ila akili ya kumiliki ilikuwa bado haijaniingia wakati nilipokuwa na pesa ,sahv sina ndo nagundua ardhi ni kitu cha muhimu kuwa nacho
 
niko na 38 yrs nmegundua tunahitaji wanaume watakao jitambua mapema mapema
Yeah ila sasa nilichogundua ili kijana ajitambue mapema ni lazima awe exposed na Dunia mapema bila hivyo ni ngumu kwa maana walio wengi huwa hawaelewi hata ukimpa shule ya uzoefu wa maisha, sana sana ataona unataka kumbania tu... So ili aweze kujitambua mapema ni lazima aingie field mapema, afanye mambo yote yaliyo kwenye matamanio yake then akishaona vyote ni ubatili basi anakua mwanamume aliyenyooka.
 
Pesa ulikuwa nazo ulizipeleka wapi mkuu?
Sikuziweka kwenye mfumo kwamba ziendelee kuwepo,pia kuna mwanamke aliniingia majukumu mapema sana hvyo matumiz yakawa makubwa na wakat sijamake chochote cha maana,mwanamke nae sio mpambanaj ni wale wanawake wanaopenda kutumia zaidi,pia anapenda kufanya biashara kubwa
 
Sikuziweka kwenye mfumo kwamba ziendelee kuwepo,pia kuna mwanamke aliniingia majukumu mapema sana hvyo matumiz yakawa makubwa na wakat sijamake chochote cha maana,mwanamke nae sio mpambanaj ni wale wanawake wanaopenda kutumia zaidi,pia anapenda kufanya biashara kubwa
Pole sana mkuu, muda bado upo zisake tena
 
Nani kakudanganya? Wewe hapo ulipo una nini mpaka leo?

Vijana wanajidanganya sana wakiwa na kiwanja cha miguu mitano kwa mitano na kibiriti cha kutembelea wanaona wenzao wanacheza.

Ndiyo kilichokuja kumkuta Chief Godlove ,alijiona ana pesa sana siku alivyoenda kwa Lugumi akajiona ni masikini wa kutupwa na Lugumi akampa milioni 10 akatoe offer kwa wanywaji bar...yeya akigaia boda boda laki 2 kwa kuzirusha juu alikuwa anajiona ana fedha.

Maisha ni kuridhika ,Wahadzhade wameridhika na maisha yao ya kijijini ,hajui S24 Ultra wala,G wagoni "blablasi" au "Meibaki" ila wanaishi kwa furaha ,same na sisi ,chumba kimoja ,simu ina afu tatu ,ndani una kilo moja ya sembe maisha yanaenda fresh.

Kidogo chetu mimi na wewe kikubwa cha BALABUU ,mali zao zisifanye upagawe.
 
Back
Top Bottom