kama 30yrs huna hata kimoja hapo upo kwenye risk ya kua looserSio rahisi hivyo
34 na ndo napanga kuanza kusaka notii na I don't give a damn care umri namba tu sio kipimo Cha success
uhai upo ukizembea utakuja kua na uhai wa matesoVyote hivyo bila kuwa na uhai ni bure, kikubwa uhai
Duh! Noma sanaNyuzi kama hizi si tulikubaliana mwisho 2024. Mleta uzi elewa maisha hayana kanuni. Mimi nili-graduate nikiwa na miaka 23 nikawa nashangaa mtu anafikaje miaka 30 hana nyumba, gari, familia wala Masters? Baada ya graduation nilianza vizuri maisha ya kitaa hasa kwenye ujasiriamali. Mabalaa yalianza nilipoigusa 26yrs... hadi kufika 28yrs nilijikuta niko naishi kwenye chumba kimoja maeneo ya Landabaa Kigogo huku nikiwa namiliki godoro tu na jiko la mchina. Kuja kusimama tena ilipita miaka mingine kadhaa... ACHA HIZO FIKRA POTOFU.
huna kitu halafu unakua chawa wa raisKuwa na watoto tu inatosha.
Mapinduzi BalamaCha msingi uwe na Yesu tu
Kikubwa kujitumauhai upo ukizembea utakuja kua na uhai wa mateso