Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Pesa ulikuwa nazo ulizipeleka wapi mkuu?Hapo nina kimoja tu ambayo ni familia nayo nampango wa kuikimbia huu mwaka maana mwanamke haeleweki
Viwanja ningekuwa navyo ila akili ya kumiliki ilikuwa bado haijaniingia wakati nilipokuwa na pesa ,sahv sina ndo nagundua ardhi ni kitu cha muhimu kuwa nacho
Maisha hayana Formula ,Babu wa Loliondo Samunge(M.A.P) alitoboa akiwa na Miaka 70.1-Kazi/ajira ya kueleweka .
2-Familia
3-Assets kama nyumba,kiwanja n.k
zama za kufarijiana kwa wanaume zimepitwa .
Yeah ila sasa nilichogundua ili kijana ajitambue mapema ni lazima awe exposed na Dunia mapema bila hivyo ni ngumu kwa maana walio wengi huwa hawaelewi hata ukimpa shule ya uzoefu wa maisha, sana sana ataona unataka kumbania tu... So ili aweze kujitambua mapema ni lazima aingie field mapema, afanye mambo yote yaliyo kwenye matamanio yake then akishaona vyote ni ubatili basi anakua mwanamume aliyenyooka.niko na 38 yrs nmegundua tunahitaji wanaume watakao jitambua mapema mapema
Nani kakudanganya? Wewe hapo ulipo una nini mpaka leo?kama 30yrs huna hata kimoja hapo upo kwenye risk ya kua looser
Sikuziweka kwenye mfumo kwamba ziendelee kuwepo,pia kuna mwanamke aliniingia majukumu mapema sana hvyo matumiz yakawa makubwa na wakat sijamake chochote cha maana,mwanamke nae sio mpambanaj ni wale wanawake wanaopenda kutumia zaidi,pia anapenda kufanya biashara kubwaPesa ulikuwa nazo ulizipeleka wapi mkuu?
pamoja na kwamba sikubaliani na mleta mada ila hakuna uhalali wa kusema life begins at 40. Ni mtu mwendawazimu tu atasubiri 40yrs ndo aanze kujipanga. Aliyesema life begins at 40 alimaanisha kwenye huo umri ndo uanze kufaidi matunda ya kazi zako.life begins @ 40. 😁
Pole sana mkuu, muda bado upo zisake tenaSikuziweka kwenye mfumo kwamba ziendelee kuwepo,pia kuna mwanamke aliniingia majukumu mapema sana hvyo matumiz yakawa makubwa na wakat sijamake chochote cha maana,mwanamke nae sio mpambanaj ni wale wanawake wanaopenda kutumia zaidi,pia anapenda kufanya biashara kubwa
ajira ambayo una mktaba reasonable iwe private au governmentJf tulizoea ni sehem ya kupunguzia stress na kuongeza maarifa sasa nyie daa
, ok kabla sijaendelea Kazi inayoeleweka ni ipi?
Mkuu hii kauli yako nimeielewa sana😃Vijana bhana.....haya ngoja tuone
Nani kakudanganya? Wewe hapo ulipo una nini mpaka leo?
Niaje mkuuNakusalimia mkuuu Ollachga Oc nimekukuta huku mkuu
Kiongozi madalali wa bongo wengi wanaishi vzr kiuchumi kuliko watu wanaosubiri hizo tarehe za mshaharaajira ambayo una mktaba reasonable iwe private au government
achana udewaka,udalali n.k
hajasoma Poor BrainMm nna mapumbuz tuu hapa, kama kuna mtu anayataka aje pm