Mwanaume ukifika miaka 30 hakikisha una moja kati ya hivi

Wengi waliopata kimoja kati ya hivyo ndio huja na mada za namna hii kwa kujifariji kua at least wameyapatia maisha.
 
Ongezea na mshangazi pia .

Mi hapo kwenye nyumba wala sikuungi mkono maana duniani tunapita tuu
..
Hao wanangu na wenyewe watajipambania wenyewe hakuna kulea lea ujinga hapa
 
Tunatoaga shuhuda zetu humu ila wanatuona kama vile tunafurahisha genge, maisha hayana kanuni kabisa. Yanaweza yakakunyookea ukiwa 26 mpka 50 ila kuanzia 51 ukaanza kuwa na maisha magumu ukatamani ufe.
 
Na wale wa kataa ndoa si vibaya wakawa na watoto tu wa kuwahudumia inatosha, mama yao akalale mbele.
 
Tunatoaga shuhuda zetu humu ila wanatuona kama vile tunafurahisha genge, maisha hayana kanuni kabisa. Yanaweza yakakunyookea ukiwa 26 mpka 50 ila kuanzia 51 ukaanza kuwa na maisha magumu ukatamani ufe.
Kabisa mkuu.
 
Izo fikra za watu wa njee ya majiji. Wanakuwa wanafikiri maisha yanaenda kama umri unavyokuwa, kumbe tofauti sana. Umri unaweza ukaenda ila maisha yasiende ndugu. Kuwa mpole maisha sio mashindano
 
Hata mimi nilipokuwa na akili za kitoto kama mtoa mada nilikuwa nikishangaa kwanini watu wako mjini muda mrefu hawana maisha, nyumba, familia labda hata na usafiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…