Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

Mwenyezi Mungu anatupenda viumbe wake....

Baadhi ya masomo ya UHALISIA wa maisha kamwe huyapati/huyaelewi yakimtokea mwingine.....yanapokufika hakika unakuwa ni mtu mpya ambaye hutaishi tena kwa HISIA bali UHALISIA.....
 
Lengo la kwanza la mtoto wa kiume si kuwa na "mpenzi" bali ni KULITOBOA TU TUNDU LA MAISHA.....
 
Back
Top Bottom