Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

Hahaha haws vijana wanasahau chuo ni kwenda kusoma, ndilo lengo kuu. Wazazi wanauza gongo na viwanja huko vijijini ili wasome but still dont care
Kusoma nini wakati ajira hakuna!! Acha tufaidi boom bhana!! Tumalize tukasambaze kahawa tu!!
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Nimecheka sana!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mihogo!!! Mihogo inapatikana maeneo ya mabibo hostel, sasa halls imefuata nini!! Ni chips bhana!!
wanachuo achana nao, kula mihogo kula karanga ni kawaida hao..
 
Kwa Mwanamke ni ngumu kumkataa mwanaume mwenye hela kisa ana true love na mtu fulani. Yupo tayari amuache anaye mpenda ,akadate na mwenye hela hata ikiwa mwenye hela atamuumiza bado atamvumilia.
 
Ningeshukuru chipsi zangu kaacha. Kwa akili yangu siku hizi ni kua demu anipe papuchi na mm nitahudumia.

Hata kunua hizo chipsi basi aje nnapoish apewe chipsi then aliwe. Hizo romantic moments ndo huwa zinapumbaza na kuumiza watu.

Yani naahukuru akili hii nilikua nayo toka nipo chuo, hizo romantic moments hata sikua nazo. Kula chipsi uliwe wewe.
 
Hata ingekua ni wewe uache kwenda kula vizuri ule chips kwenye mfuko huku umekaa chini....hamna anaependa shida, tena utakuta hata hazikua chips usikute mtoto wa watu alikua analishwa mihogo
Alitakiwa ale mihogo tena kwa furaha kabisa kwa sababu ndio chakula kilichopo kwa wakati huo huku akimtia moyo jamaa yake ili apambane waje kuishi kifalme. Mtu akiwa hajui anachokitaka kwenye maisha yake ni kama mfu tu.
 
Shida sio kuvumilia mkuu
Wanaume wakipataga wanaona kama wanawake waliowavumilia na kupambana nao sio wa hadhi zao na wamechoka mno
Kila mtu ale urefu wa kamba yake tuu
 
Wako wengine wanajitambua ila wengi majanga
Wanafunzi wa chuo ukichukua namba yake moja ya maswali ya kwanza kukuuliza unafanya kazi gani sisemi ni vibaya kuuliza kazi ya mtu hapana wengi wao limekua ni kama swali la mtego kwako wahuni wanawadanganya wanakula mzigo wanapita
 
Alitakiwa ale mihogo tena kwa furaha kabisa kwa sababu ndio chakula kilichopo kwa wakati huo huku akimtia moyo jamaa yake ili apambane waje kuishi kifalme. Mtu akiwa hajui anachokitaka kwenye maisha yake ni kama mfu tu.
mmmh unamjua masikini akipata weyee au unamsikia tu??? waje kuishi kifalme??? teh atakula nae mihogo akijakuzipata, kuku atakula na wenye hadhi yake....
 
Back
Top Bottom