Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

Kitambo sana na ndio miaka hiyo yetu ilisemekana yule waziri alituma watu wachome moto gari aliyomnunulia mpenzi wake pale UDSM.
Heraaaa! Yaani waziri alikuwa anatoka na denti? Kwa nn alituma watu wachome moto gari? Huyo denti alikuwa anachukua masters, diploma au degree? Nina mashaka kabisa kuwa hakuwa binti, lilikua jimama fulani lililochelewa kuanza chuo, so likawa linajiendeleza. Trust!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Swala la Pesa ni Mtambuka...

Mwalimu ana pesa lakini Meneja wa bank anaweza kula mpenzi wake kwa pesa,,
Meneja pia demu wake anaweza liwa na Boda boda,
Bodaboda nae demu wake anaweza liwa na jobless..

Jobless sasa demu wake ndio atachukuliwa na mwenye pesa mbele yake..... then Circle inajirudia..

Hata ukiwa na Pesa vipi bado kuna watu watakuwa tu wamekuzidi,,, na pia wapo utakaokuwa umewazidi... So tafuta hela kwa ajili ya kukamilisha mahitaji yako binafsi na sio uamini hela yako itambakiza Mwanamke..

Kijana jipende, Kula maisha,, Achana na Kuoa..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna hata sahivi hao mawaziri wanakula Dent, ajabu nn hapo?

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Swala la Pesa ni Mtambuka...

Mwalimu ana pesa lakini Meneja wa bank anaweza kula mpenzi wake kwa pesa,,
Meneja pia demu wake anaweza liwa na Boda boda,
Bodaboda nae demu wake anaweza liwa na jobless..

Jobless sasa demu wake ndio atachukuliwa na mwenye pesa mbele yake..... then Circle inajirudia..

Hata ukiwa na Pesa vipi bado kuna watu watakuwa tu wamekuzidi,,, na pia wapo utakaokuwa umewazidi... So tafuta hela kwa ajili ya kukamilisha mahitaji yako binafsi na sio uamini hela yako itambakiza Mwanamke..

Kijana jipende, Kula maisha,, Achana na Kuoa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Nasemea hao wadada wanaokurupukia wanaume wenye magari, kwan wakiwavulia chupi ndo yanakua magari yao? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi wapende wenye magari lol.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kwa Mademu kudate na wenye magari ni ufahari.Wanawake akili zenu mnazijua ninyi wenyewe.
 
Iyo kawaida Sana kwa mkiwa wanafunzi.
Mpenz wako akipata mwny pesa hakuna rangi utaacha kuona[emoji4]

Mi nashkuru sn kipind nasoma primary.
mpnz wangu alinambia wazi kabisa kwamba nmeisha fasheni,hatuwez kuendana Tena. Akaenda kwa kiranja mkuu na jamaa kwao uwezo ulikuepo. Binti alipendeza Sana na mapenz na Mimi yakafa kibudu.

Sekondari nikawa na binti mwngn nmemuwekea moyoni,
Uyo tulidumu miez 6 TU Kisha Akanambia HANITAKI TENA, NIKITAKA MAHUSIANO NA YEYE NITAFUTE ELA KWANZA.

uyu alisema Siwezi timizia mahitaji yake mengi aliyonayo kwa Sasa, kusema ananipenda tutadanganyana TU.
Nitafute Ela kwanza, nikizipata yupo ready nimrudie.

Niliumia sana,
Sema ndo ulikua uhalisia, jamaa alikua anampa maisha mazur binti shulen pale mpk mwnyw naona wivu. Nikawa mpole.

Ikanipa hasira sana ya kutafuta Ela, nilipozipata nikaachana na mambo ya kupenda nikawa onja onja tu.
Nilipopata fursa ya kwenda ughaibun ndo kabsaa nikawa kitomby, maana nilifikia Hadi kucheza filamu za wakubwa kipind flan ili kupiga Ela..

Niliporudi nyumban ujana umepamba moto ikawa nikimpenda mwanamke, silaha ya haraka haraka Ni kutumia pesa.

Nikishajua Wewe ni mnyonge huniwezi, Sion hatari kukupora mpenz wako kusudi tu ili nimuonje analadha gani. Kisha nikishamuonja nakuachia uendelee nae.

Nilivokuja kufilisika, wanawake wote wakanikimbia, marafiki masnitch wakala Kona.
Nikaamua kuachana na uhuni ikabidi nioe nitulie ili kuokoa kilichobaki maana vijana wangu nao walianza kunipiga pale ofsin maana MDA mwingi nlkua sikai.

Honestly,
Ulichosema Ni kweli kabisa kipo.
Na Sio kitu kigeni, labda ujifanye kichwa maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ww umempelekea chips kavu za buku jero mwenzio anamchukua kumpeleka kfc.
 
Unayajua maumivu ya mapenzi wewe? Acha kabisa usilete ubishi na kutaka kuazimisha iwe chai.
Kusimama dakika 30 sikatai..ila kuisindikiza gari kwa macho dakika 30 ni uongo...
Ila kasema aliendelea kusimama hata baada ya gari kutokomea.
 
Hata ingekua ni wewe uache kwenda kula vizuri ule chips kwenye mfuko huku umekaa chini....hamna anaependa shida, tena utakuta hata hazikua chips usikute mtoto wa watu alikua analishwa mihogo
Tena ukute mihogo yenyewe imepoaa [emoji3]
 
Hata ingekua ni wewe uache kwenda kula vizuri ule chips kwenye mfuko huku umekaa chini....hamna anaependa shida, tena utakuta hata hazikua chips usikute mtoto wa watu alikua analishwa mihogo
Nimecheka sana!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mihogo!!! Mihogo inapatikana maeneo ya mabibo hostel, sasa halls imefuata nini!! Ni chips bhana!!
 
Back
Top Bottom