Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

Kwanzaa hao wenye gari wanakua wapenzi au danga tyuuh? Wapenzi ni wakaka was chuo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ile scenario ndio ilinifanya nijue kiumbe mwanamke anaweza kufanya chochote kisichotegemewa. Tulibaki tunajiuliza labda kati ya wale washkaji wawili mmoja ni kaka yake. Lakini swali likawa anaweza kukumbatiana na kaka yake?
Sio rahisi
 
Hiyo ni kawaida mbna, tena sahivi ndo wazi wazi kabisaa, UDSM sio mchezo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kitambo sana na ndio miaka hiyo yetu ilisemekana yule waziri alituma watu wachome moto gari aliyomnunulia mpenzi wake pale UDSM.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwa tena khaah. Ila UDSM sahivi ndo imeharibika, jinsi ndinga zinavobeba Dent, uwiiiiih hasa hapo Magu hostel woiiiiiiiiih.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kitambo sana na ndio miaka hiyo yetu ilisemekana yule waziri alituma watu wachome moto gari aliyomnunulia mpenzi wake pale UDSM.
Heraaaa! Yaani waziri alikuwa anatoka na denti? Kwa nn alituma watu wachome moto gari? Huyo denti alikuwa anachukua masters, diploma au degree? Nina mashaka kabisa kuwa hakuwa binti, lilikua jimama fulani lililochelewa kuanza chuo, so likawa linajiendeleza. Trust!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom