Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

Hata ingekua ni wewe uache kwenda kula vizuri ule chips kwenye mfuko huku umekaa chini....hamna anaependa shida, tena utakuta hata hazikua chips usikute mtoto wa watu alikua analishwa mihogo
[emoji23][emoji23][emoji23],Wewe ni Sholi au kidume??.
 
Sawa lakini mtu kuja na gari haimaanishi ana hela. Labda ni tabia mbaya ya huyo dada ya kushoboka
 
Hivi hao wanawake wa hivyo hua mnakutana nao wapi..??
Anyway.........
Mungu amtunze mke wangu mpenzi, maana najua ni ngumu kuishi na mwanaume wa kiAfrica.
My brother..... kwenye mapenzi ya kweli, pesa haijawahi kupata nafasi.
 
Ule ujasiri wa yule demu ndio bado sijauelewa hadi Leo. Unawezaje kuwa na mshakaji halafu wakati huo huo unachukuliwa na mshakaji mwingine?
Jamaa yako asiwe na wasiwasi kwenye Serekali ya huyo demu,yeye na Waziri wa kilimo na lishe! Alafu yule Jamaa wa Verosa yeye ni Waziri wa Usafiri na Uchukuzi! Mimi kwenye Serekali yake huyo demu nitaingia Kama Waziri wa fedha! Siku hizi mapenzi ni Taasisi,siyo tena Mzigo wa Mtu mmoja!! Just Jocking!!
 
Chuo kunakuwaga kama sehemu ya watoto wa kike kujifunzia umalaya, kama mkeo, demu wako kapita chuo jua upo na mtu hatari ila kaficha tu makucha.
 
Back
Top Bottom