Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

Hahahhaha mbona povu
Hamna anaependa shida bhana tuseme tu ukweli😅😅😅

Afu sasa mbona hata wakaka wachuo pia wako selective kwa kind ya demu anaetaka kutoka nae
they be like ‘that girl isn’t my type cuz cjui hv mara vile 😅😅😅

Asa sisi kua selective is there a problem??

Btw kua maskini haimaniishi basi upende shida jamani😅😅😅
Dunia haina huruma kabisa
 
Ndiyo naamini wapo, mfano Mimi enzi izo nilikataa wenye gari, siwez nikaliwa ovyo aisee kisa gari.... Sasa sijajua wengine km wapo, Kwa sbb nimejiona nilivyokuwa Mimi.
Ulipita UDSM?
Mwaka gani?
 
Hahahhaha mbona povu
Hamna anaependa shida bhana tuseme tu ukweli[emoji28][emoji28][emoji28]

Afu sasa mbona hata wakaka wachuo pia wako selective kwa kind ya demu anaetaka kutoka nae
they be like ‘that girl isn’t my type cuz cjui hv mara vile [emoji28][emoji28][emoji28]

Asa sisi kua selective is there a problem??

Btw kua maskini haimaniishi basi upende shida jamani[emoji28][emoji28][emoji28]
Hujaelewa hataa, soma tena. Sijawaongelea girls na sijatoa povu. Nimewaongelea hao boys ambao wengi ni njaa kali afu wanajiingiza kwenye mapenzi hovyo hovyo, wanasahau lengo la wao kuwa pale
 
Back
Top Bottom