hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Really!? Means Kuna wenye nafuuAkili mbovu za wachache ndizo zinaharibu sifa za wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Really!? Means Kuna wenye nafuuAkili mbovu za wachache ndizo zinaharibu sifa za wengine.
Mimi nilifika kutoa msaada tuJamaa wa chips unaendeleaje au ushamove on
Nafikiri huyu lady alimchukulia huyu boy for grantedUkiwaendekeza lazima wakuone bwege
Huzuni sana.Halafu huyo mwanamnke akikwama kwenye mahusiano aliyoyapandia "gari" atamrudia mwenye mfuko wa vipande vya viazi?Jamaa alibaki kashikilia mfuko wake wa chips akisindikiza kwa macho ile gari hadi inapotelea kwenye pori la kanisa
Fika pale Cafeteria II weka funguo mezani then agiza maji yako unakunywa taratibuWatoto wa chuo ukiwa na ndinga utawala mpaka ukimbie mwenyewe
Wako wengine wanajitambua ila wengi majangaAkili mbovu za wachache ndizo zinaharibu sifa za wengine.
Fika pale Cafeteria II weka funguo mezani then agiza maji yako unakunywa taratibu
[emoji38][emoji38] ndoa mbinu zangu izoFika pale Cafeteria II weka funguo mezani then agiza maji yako unakunywa taratibu
Wanasema 'Mkate mgumu kwa chai hakunaga'Ule ujasiri wa yule demu ndio bado sijauelewa hadi Leo. Unawezaje kuwa na mshakaji halafu wakati huo huo unachukuliwa na mshakaji mwingine?
Co hujachukua ata mmojHahahaha me nawavizia sana pale hillpark [emoji3][emoji3]
Sure tutafute ela nothing impossibleWanasema 'Mkate mgumu kwa chai hakunaga'
Akili mbovu za wachache ndizo zinaharibu sifa za wengine.
Nafikiri boy huyu ni kwa ajili ya madesa na msaada wa assignments then yule mshkaji mwenye ndinga ndio sponsa mwenyeweHata ingekua ni wewe uache kwenda kula vizuri ule chips kwenye mfuko huku umekaa chini....hamna anaependa shida, tena utakuta hata hazikua chips usikute mtoto wa watu alikua analishwa mihogo
Vipi unawachota?[emoji38][emoji38] ndoa mbinu zangu izo
Co hujachukua ata mmoj
Hillpark wakiagiza watakutia hasaraHahahaha me nawavizia sana pale hillpark [emoji3][emoji3]
sasa madesa ya kazi gani, na vile wanachuo wanafuliaga wanabaki kula mikate tu kama waisraeli nani anataka tabu!!!!!Nafikiri boy huyu ni kwa ajili ya madesa na msaada wa assignments then yule mshkaji mwenye ndinga ndio sponsa mwenyewe
Hillpark wakiagiza watakutia hasara
Hahahaa! Duhsasa madesa ya kazi gani, na vile wanachuo wanafuliaga wanabaki kula mikate tu kama waisraeli nani anataka tabu!!!!!