Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

UDSM, 2010 saa moja na nusu usiku nipo dirishani hall 6 nachungulia dirishani. Ghafla anashuka Dada mmoja kutoka juu ghorofa ya kwanza anakutana na kijana mmoja aliyeonekana amebeba mfuko wanakumbatiana na kwenda kukaa kwenye nyasi. Kijana anafungua mfuko na wote wanaanza kula nadhani ni chips. Zilipita kama dakika 20 gari ikaingia aina ya Verossa/Mark X sina hakika sana Ila ni muundo huo. Ghafla naona yule msichana kasimama kaenda kwenye ile gari jamaa katoka wakakumbatia akamfungulia mlango demu akaingia gari ikaamsha. Jamaa wa chips alisimama zaidi dakika 30 akiisindikiza gari kwa macho hadi ilipoishia bado amesimama pale na chips zake mkononi. Niliumia sana kama vile lile tukio limenitokea mimi. Nikatoka nje na kumtia moyo mshakaji the man was depressed.
Dakika 30 kasimama anaisindikiza gari kwa macho..acha uongo basi.
 
Madem wa chuo wanapenda sana kwenda kfc au Pizza Hut. Wewe mwambie tu weeknd hii nitakupeleka ukale pizza afu tunamalizia samak samak yani hapo ushamalizaa, usisahu condom tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inaonekana uxhawala ½ ya wote
 
My money long, my nigga my money strong,
if you ain't gettin' money dat mean you done somethin' wrong
 
Madem wa chuo wanapenda sana kwenda kfc au Pizza Hut. Wewe mwambie tu weeknd hii nitakupeleka ukale pizza afu tunamalizia samak samak yani hapo ushamalizaa, usisahu condom tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa mnakutana/mnawakuta wapi?
 
Back
Top Bottom