honey bee
Senior Member
- Nov 23, 2021
- 139
- 232
Kusoma nini wakati ajira hakuna!! Acha tufaidi boom bhana!! Tumalize tukasambaze kahawa tu!!Hahaha haws vijana wanasahau chuo ni kwenda kusoma, ndilo lengo kuu. Wazazi wanauza gongo na viwanja huko vijijini ili wasome but still dont care
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]