Mwanaume, ukimtongoza mwanamke akakukatalia huwa unachukua hatua gani?

Hizo texts ndio Gen Z wanavyoandika 😂😂😂, nilifikiri ni kihindi
 
Mbona mnakuwa wepesi kukata tamaa hivyo

Ingekuwa enzi zetu unaimbisha mrembo miaka 2 hadi 3 si mngeshindwa nyie

Hata hivyo huyo bibie amepata wasiwasi labda unamtania, kwamba kwa level yako anahisi hastahili kuwa na wewe (pengine wa kienyeji sana, halafu wewe sio wa level hizo)

Hajui Wanaume wengi tunapenda pia za kienyeji 🤭
 
Hua nasimama pembeni yake, kisha namwambia anyenyue mguu alafu nachota mchanga alipo kanyaka kisha naondoka bila kumuaga.......🤣
Yaani lazima atapiga nduru ya hofu na atakutafuta yeye mwenyewe na kutuma watu....😂
Alafu.....
Kwanza inakuaje mwanaume unakataliwa na Aminayutiai....🤔
 
Iyo screenshot ni ya mwaka juzi nmekutana nayo leo kwenye makabrasha yangu. kuna pisi nilkutana nayo kwenye harakat zangu imenyooka kinoma nikaanza kuifukuzia nikaja gundua ndo ilikua haina muda mrefu tangu izamie mjini kutoka kijijini. apo ndo ikazidi kunichanganya maana napenda sana kienyeji. Baada ya kuipata Nilidumu nayo kidogo sana maana niliona kabisa haiko comfortable namimi.

Kwenye suala la kufukuzia pisi nilioielewa ponapona yake ni iolewe vinginevyo lazima ntaivua tu ata ipite miaka mitano
 
Kwahiyo lengo ni kuivua ama kuibeba jumla

Kama upo serious, atakukubalia

Jaribu kupunguza mambo mengi, akikuona una hangout na wasichana wengine itakuwa kigezo cha kukunyima
 



Tangu nijoin JF sijawahi kuona screenshots za mnaowatongoza wakawa wanaandika mwandiko unaoeleweka

Kuna muda nahisi kama mnaamua kujitekenya kwa sim cards mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…