Mwanaume, ukimtongoza mwanamke akakukatalia huwa unachukua hatua gani?

Kwanza kabisa hamna mwanaume anaejua wanawake, kwa mantiki iyo huwezi tu kujiamlia mambo kisa umepewa green light utaishia kuaibika. Wengine ishatutokea ndio maana tunaset mipango yote inakaa sawa, pengine kakukubalia kumbe ni mke wa mtu, lazima ukae kwa pattern.

Pili, wengine tupo speed kuna muda tunakua tunajiwekea kuwa huyu baada ya muda flani lazima niwe nshalala nae then ndo unajua unaweka kambi au unachapa raba. sio anakuletea drama hazieleweki, akiendelea kukaza ndani ya muda ulojiwekea unadeal na wengine yeye unaenda nae polepole mpaka atapoingia line.

Hao wa red light tunaishi nao kijanja mpaka waturn green light. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
 
Safi
 
K
Kabisa mkuu✌🏾
 
Wee mpuuzi kumbe unaitwa Kevin?

Sasa toka lini kina Kevoo wakawa serious kwenye relationship? 😹😹😹

Huyo demu mjanja kajua kinachoenda kumkuta..!!
 
Shida ya kudhania ni green light kwa demu uliyezoeana naye vibaya, ndiyo unakuta unachanganya madesa. Na hao ambao walikuonesha red light hadi kuja kukuwekea green light, jua aliyekuwa akimpa kiburi keshamtema kaona ajifichie kwako
 
Kuna nini zaidi ya hela mwanawane...teknic ni hiyo tuu. Haman mwanamke mgumu mbele ya hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…