Mwanaume, Ukiona mwanamke wako kaanza kukaa mbali nawe, fanya hivi…

Sawa endeleeni kushusha nyuzi tutajua nani anateseka 🤣🤣🤣
Maana hao wanawake tumenyamaza ila wasemaji mko mbio mbio km mnakimbiza mwenge
Uzuri wake ujumbe huu unawahusu sana wanaume . Ila nyinyi pia mnaweza changia.
Ila it's especially for men.
 
😂😂😂😂Sasa kama hubembelezwi , inatofautiana nini na sie mayatima wa mapenz dada!!!!!?????
Wabembelezaji wengi Marioo au hawana pa kwenda.!! Sasa nani anataka kugandwa na gendaeka 🤣🤣🤣
 
Wewe ni mchaga
 
oooh
Wabembelezaji wengi Marioo au hawana pa kwenda.!! Sasa nani anataka kugandwa na gendaeka 🤣🤣🤣
kumbe ndo yanaendelea sasa kwenye ulimwengu wa mapenz 😂😂😂😂
 
Wanawake sisi sasa waigizaji ndo awe makini kutuchagua eeeeh?
Kuna tabia huwa hamjifichi, nikipata muda nitazianika. Kuwasoma nyinyi ni rahisi sana kwa mwenye maarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…