Sauti yako hauwezi kusaidia, tatizo wana vichwa viwili na kidogo ndo kibishi linapokuja suala zima la maamuzi 😜🤣🤣🤣Na hakuna mwanaume wa kufanyiwa ujinga tena. Labda atake mwenyewe .
Nitaendelea kupaza sauti, ili wao wapate elimu.
leo umetoa point tamu sana😂😂ailaviyuuChana naye apate akili ya kutafuta pesa kwanza 😂😂😂
Basi katokea jukwaa la ujenzi 😂😅 Si hapa Jf au tushahamia Korea na mama???
Kama ingekuwa hivyo wengi wangeolewa na maex zao.Sauti yako hauwezi kusaidia, tatizo wana vichwa viwili na kidogo ndo kibishi linapokuja suala zima la maamuzi 😜🤣🤣🤣
🤣🤣🤣leo umetoa point tamu sana😂😂ailaviyuu
Maex tena?!!! Katika vitu sivikubali basi hao maex, wanakuwa wanachorana baada ya kupigwa na vitu vizito walikotoka.!!Kama ingekuwa hivyo wengi wangeolewa na maex zao.
Mmmmh acha izoacha kuwadanganya wenzio,, nyie wanaume bembelezeni hao wanawake zenu,,huku nje ni kubayaaaa.....
Wasiposikiliza, watafundishwa kwa matukio. Mi nitakuwa nimetimiza kazi yangu ya kinabii.Maex tena?!!! Katika vitu sivikubali basi hao maex, wanakuwa wanachorana baada ya kupigwa na vitu vizito walikotoka.!!
Mimi nasemea hao unaowafundisha hawawezi kukusikiliza wana vichwa viwili na kidogo ndo final say!! Bado hujaelewa??
I love you too💋leo umetoa point tamu sana😂😂ailaviyuu
mimi au umekosea text?Mmmmh acha izo
😳😳I love you too💋
Ni hatari.Sasa hivi kuna single mother wengi kwakua watu wanashindana aka usinibabaishe style/naondoka zangu style/nimechoshwa na ww style sometimes wanatukanana kabisa
Wewe hapomimi au umekosea text?
🥰💋
the subscriber ur calling is on another callWewe hapo
Haya ni maajabu
Emu fanya kunitajia sifa zozote mbili za ving'ong'o nijue Kama nimo au simo😂🤣🤣🤣 Napenda mimi hujanijua tyuuu.!! Sema sio ving’ong’o