Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Hawa viumbe wa kike sio wakuwaamini sana.
Kama Marehemu Mrema ambae alikuwa hata kusimama tabu aliambiwa anapiga show nzuri basi utafakari mara 2 kila wanalokwambia.
Wakitaka lao husema chochote kile.
Usistaajabu Steven Wasira anaitwa handsome boy na mchepuko wake.