Mwanaume ukitumiwa meseji hii bila kuuliza ujue wewe ni mnoma sana kunako kitanda

Aisee wee unadhani kazi ndogo kumvua kyupi mke wa mtu...yaani unampiga sound mpaka anasema wacha tuu nimpe huyu kidume mbususu ya mume wangu. Lazima ujisifu kuwa wee kidume
Wake za watu watamu bana, Yani unamkamua haswa haswa
 
Tuliosoma cuba nahisi kwa 75% Unaibiwa. 😂 😂 😂, jinsi msg alivyoandika ni km anakupulizia ama anaongeza chumvi

Umeanza kuto mba jana,!?? Kwanin siku zote hizo hujatumiwa msg km hiyo na wanawake wengine.
 
Vijana wa siku hizi ovyo kabisa, nasema waongeze tozo tuu akili labda itarudi
 
waogope sana wanawake wanaotumia R kwenye L ...

"RAKINI badala ya LAKINI"....

nenda kutoa cha karibu nawe uanze matumizi ya A.R.V waambie tu wasikupe ALV
 
wewe huna akili ndio maana umetembea na huyo asiye jua kuandika. fikiri sana
Mungu ametubariki na kutupa moyo wa kipekee sana sisi wanaume. Ni meanaume pekee ambaye anaweza kuwa ni profesa mkubwa lakini akatoka kimapenzi na mwanamke mzuri asiyeju hata kusoma, anayetembeza maandazi kila asubuhi kwenye maofisi na barabarani na akajiachia naye kila mtu akajua kuwa anatoka nahuyi mwanamke ikiwezekana anaweza kumuoa kabisa.

Ila kwa mwanamke profesa hawezi toka kimapenzi na akajiachia kila mtu akajua ikiwezekana kuolewa kabisa kabisa na yule kijana kibarua anayeshinda store akipakua mizigo godown katika eneo ambalo bibie analofanyia kazi.

Kwa picha hiyo nadhani umeshajua wanaume tumeumbwa na moyo mzuri kiasi gani. Hivyo kwangu mimi kumdharau mwanamke kisa hajui kuandika vizuri na wakati amenivutia kwangu ni never. Labda kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…