J C
JF-Expert Member
- Dec 12, 2013
- 3,061
- 2,541
Iko hivi jamaa lake limeona demu ni mzigo lime mshauri arudi kwenye ndoa yake demu akaona haina jinsi arudi tu sasa ukilrudisha lijamaa litamrudia tena hivi sasa mtakuwa wanaume wawili ukitaka kuelewa hili ataanza kukunyima baadhi ya siku akijua ametiwa nje hapo ndipo utakapoanza kulia na kusaga meno hutokuwa na ushahidi tena wa kumtia hatiani. Piga chini, kaza moyo, na songa mbele kiume.