Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

Pia wanaume mnakuwa chanzo cha wake zenu kucheat, Wengi wenu mnazururisha sana kwa makahaba huko mpaka wake zenu wanazoea tabia zenu, sass wakichoka wao huingia wazima wazima kwenye cheaters ha ha ha .
Mwanamke mwenye asili ya umalaya ni Malaya tuu na aliyetulia I we kiangazi masika atatulia tuu
 
Nature inaonesha mwanamke anamadhara makubwa kuliko mwanaume
Nb: haihalalishi
Hakuna madhara kwa mwanamke sema wanawake huwa wavumilivu, ndiyo maana hata YESU aliwambia wale waliomfumania mwanamke akizini asiye na dhambi awe wakwanza kurusha jiwe!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mstari kwenye maisha yangu ambao sio dini tu hata Mungu hawezi kuuvuka, naishi mimi.
Huyo unaedhani hawezi kuuvuka huo mstari uliojiwekea (Mungu), ndiye aliyeruhusu upate hata nguvu za kuandika humu.

Namaanisha yupo anaeweza kuingilia maisha yako kwa namna anayotaka.
 
Huyo unaedhani hawezi kuuvuka huo mstari uliojiwekea (Mungu), ndiye aliyeruhusu upate hata nguvu za kuandika humu.

Namaanisha yupo anaeweza kuingilia maisha yako kwa namna anayotaka.

Sio kweli, ni yeye alinipa haya mamlaka…. kitu namtunzia ni pumzi yake tu.
 
Sio kweli, ni yeye alinipa haya mamlaka…. kitu namtunzia ni pumzi yake tu.
Kwamba wewe ndo unamtunzia pumzi sio?

Kwa maana nyingine ni kwamba waliokufa walishindwa kuitunza ile pumzi waliopewa??

Basi jitahidi uitunze kwa miaka hata 200 mkuu.
 
Nikifikiriaga hili swala la ndoa linavyoendeshwa kisheria kama katiba ya kikundi cha siasa.. Nachoka hata kutaka kujaribu,
i think it should be led by love between two people, nje na hapo hamna man made rules ya kucontrol venye kiumbe binadamu kinafeel mtaachana tu kama msiporaruana.
 
Nimekuelewa mkuu kidogo umenifundisha nilitaka kuoa kwa kukurupuka kutokana na kupigiwa kelele na jamii kuwa mbona si oi wakati napiga kazi naingiza kipato, imefika hatua kelele zao zinaniumiza mpaka wameamua kunitenga yaani kuishi mikoani kuna tabu yake
Oa bossy achana na huyu wewe ni wewe yeye ni yeye
 
Back
Top Bottom