Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
- Thread starter
- #221
Unachosema ni sahihi sema kitu kimoja uelewa wa MTU asipoamua kuthamini kile unachompa usidhani ni rahisi akatulia kwenye ndoa.Kuishi mke/mme ni taaluma kubwa asikwambie mtu, huende huyo mkuu hanaga muda wakukaa na mkewe akijaza vyakula ndani basi kamaliza sasa mchepuko unapata nafasi ya kum care mkewe ha ha ha!
Ndoa ni maelewano, mwenzako akiamua kukuelewa hata sh 100 ataona ni milioni