Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

Ni kweli kabisa coz huyu mwanamke anafanya Yale mama yake amemfanyia baba yake na wametengana mpaka sasa pamoja uzee wake bado anatafuta mabwana
Mkuu kosa linaanzia hapo ulipokubali kuoa mwanamke anayetoka mazingira ya kuishi na mama aliye tengana na baba yake.
Ukweli huyo mwanamke atakutesa Sana kutokana na mazingira ya ukuaji wake .
 
Nilifanya upumbavu kwa utamu wa k.... Naomba Mungu anisaidie
 
Pale unaporuhusu ujinga wa mtu mwingine ukuumize kichwa, utateseka sana.
 
Pole sana kwa yaliokukuta, lakini si wanaume tu wanaotakiwa kutuliza kichwa bali hata wanawake pia wanatakiwa kutuliza si kuona boxer ukajua nimepata mme wengine ni majokeli
 
Kuna mambo kwenye Maisha mtu hawezi kuniamulia

Napa nitakavyo, na nitaacha na kutoa talaka nitakavyo kadiri ya sheria nilizojiwekea.
Na sio dini, tamaduni wala serikali
 
Inategemea maisha yako yana asili gani katika lande hizo
 
Pole sana kwa yaliokukuta, lakini si wanaume tu wanaotakiwa kutuliza kichwa bali hata wanawake pia wanatakiwa kutuliza si kuona boxer ukajua nimepata mme wengine ni majokeli
Ni kweli sema ndo ivo utajuaje?
 
Back
Top Bottom