katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Bikra wewe bwana nimekuwa na familia yangu sitaki nuksiMi kanikuta bikra sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bikra wewe bwana nimekuwa na familia yangu sitaki nuksiMi kanikuta bikra sasa
Huo ni ujirani ndan ya ndoaMaisha ambayo siyawezi kabisa yaan unakuta watu wanaishi vyumba tofauti sa hio ni ndoa au nn?
Mkuu kosa linaanzia hapo ulipokubali kuoa mwanamke anayetoka mazingira ya kuishi na mama aliye tengana na baba yake.Ni kweli kabisa coz huyu mwanamke anafanya Yale mama yake amemfanyia baba yake na wametengana mpaka sasa pamoja uzee wake bado anatafuta mabwana
Haya ngoja tuoneMi mwenyewe kunguru hawezi nizidi mkuu
Duuh na wewe umeolewaBikra wewe bwana nimekuwa na familia yangu sitaki nuksi
Ila wewe jamaa Mungu anakuona umeoa lakini ?Wakati wengine wakipata shida hii wengine hawapewi unyumba na mwanamke kisa kachoka ndoa chanzo Cha magonjwa na umaskini
Pole unaonekana na wewe uliachwa kwa tabia kama za aliyekua mke wanguBikra wewe bwana nimekuwa na familia yangu sitaki nuksi
Naelewa lakini je ni wote wasiojua kujishusha wakikosea??Pole ila nakuambia wanawake wanafanana sana tabia
Wish me lucky mzee maana nna watoto naeHaya ngoja tuone
Kama ni kweli we ni kunguru i'm proud of you
Nilifanya upumbavu kwa utamu wa k.... Naomba Mungu anisaidieMkuu kosa linaanzia hapo ulipokubali kuoa mwanamke anayetoka mazingira ya kuishi na mama aliye tengana na baba yake.
Ukweli huyo mwanamke atakutesa Sana kutokana na mazingira ya ukuaji wake .
Mi kanikuta bikra sasa
Kivip yaaan??Can’t be serious dude! Kumbe tunazunguuuka na tatizo liko wazi tu, yote hii imeanzia hapo.
Kivip yaaan??
Almost maana sikua mzoefuKwamba demu alikukuta bikira..!!!!
Inategemea maisha yako yana asili gani katika lande hizoKuna mambo kwenye Maisha mtu hawezi kuniamulia
Napa nitakavyo, na nitaacha na kutoa talaka nitakavyo kadiri ya sheria nilizojiwekea.
Na sio dini, tamaduni wala serikali
Ni kweli sema ndo ivo utajuaje?Pole sana kwa yaliokukuta, lakini si wanaume tu wanaotakiwa kutuliza kichwa bali hata wanawake pia wanatakiwa kutuliza si kuona boxer ukajua nimepata mme wengine ni majokeli