Hao wazee wa kanisa hawayajui maandiko?
Mathayo 19:9
| Basi nawaambieni, yeyote atakayemwacha mke wake isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, akaoa mke mwingine, anazini.” |
|
|
Biblia imetaja uzinifu ni sababu inayoruhusu mwanamke apewe talaka na mumewe.Hao wanaokukataza usimwache wanasoma kitabu gani?
Guys ,Talaka ni rehema kutoka kwa Mungu, bila ya talaka kungekuwa na mauaji mengi sana kwa wanandoa. Mwanaume umeumbwa na wivu, haiwezekani umkute mkeo anabanduliwa live na mwanaume mwingine halafu hao wazee wa kanisa waseme huwezi kumuacha. Unaweza kumsamehe ila huwezi kusahau tukio lake hata kama mtazeeka wote ila kila ukimtazama unauona uchafu aliokufanyia.