Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

Nilipofanikiwa kunasa sauti zinazothibitisha mahusiano yao ndo ikabidi akubali mbele ya viongozi wa kanisa, lakini sasa anadai anahitaji ndoa yake na si kuachana.

Maajabu ya utaratibu wetu sisi wakristo ni kulazimishana kurudiana watu tulioumizana kiasi kikubwa kwa kigezo cha kusameheana.... Yaan nilazima nimsamehe turudiane vinginevyo sitoruhusiwa kuoa maisha yangu yoote labda mpaka huyo mwanamke aolewe.
Usisingizie dini mkuu..
Andiko la Biblia linasema kuna sababu moja tu inayoweza kuhalalisha talaka, UZINZI. Wewe umekwama vipi?

Mathayo 19:9
Mimi nawaambia, yeyote amwachaye mkewe isipokuwa kwa sababu ya uasherati naye akaoa mke mwingine, anazini. Naye amwoaye yule mwanamke aliyeachwa pia anazini.

Mathayo 5:32
Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mwanamume akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.
 
Usisingizie dini mkuu..
Andiko la Biblia linasema kuna sababu moja tu inayoweza kuhalalisha talaka, UZINZI. Wewe umekwama vipi?

Mathayo 19:9
Mimi nawaambia, yeyote amwachaye mkewe isipokuwa kwa sababu ya uasherati naye akaoa mke mwingine, anazini. Naye amwoaye yule mwanamke aliyeachwa pia anazini.

Mathayo 5:32
Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mwanamume akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.
Kwa hio unataka kusema watu wavulimilie kugongewa au
 
Ndugu najua mahakama ndio inayotoa talaka ila nilichokua nataka ni kupata uhalali kikanisa ili niweze kufunga ndoa tena kanisani hapo baadae.... Ila last option utakua hiyo

Ukisubiri kanisa likuamulie kumuacha mkeo unaweza jikuta miaka hata kumi imepita mnavutana tu,kanisani hawatoi maamuzi kirahisi hivyo,ni wewe kuamua kama una ushaidi wa kutosha nenda mahakamani.
 
Mkui huyu hajaamua tu kuacha!
Aliyemwabi kanisa linavunja ndoa nani? Hakuna ambae anaitaka hiyo dhambi wote wanakwepa,ndo maana ndoa zinavunjwa mahakamani sio kanisani!
Na maisha yanaendelea, na unafunga nyingine kanisani vzr ,baadhi ya ma kanisa hawana mambo mengi[emoji23]

Ni kweli kabisa akikomaa na kanisa ndio wavunje ndoa atashangaa uzee unakutia hapo anadai talaka...
 
Yaani viongozi wa kanisa wakupangie? Wakulazimishe? Wanajua unapopitia? Kwanza ktk hali ya kawaida kanisani watakuzingua tu nenda mahakamani basi,huko utapata divorce!
Unafikiri kwann ndoa nyingi za kikiristo zina divorce ya mahakamani sio kanisani?
Ndo mambo km haya hawataki wao wawe ndo waliovunja ndoa!
kila mmoja analikwepa hilo hivyo utahangaika sana na hawatavunja!
Hilo linawezekana makanisa mengine tofauti na Rc,Lutheran, Anglican,Moravian. Lkn na yenyewe inategemea zipo zilizovunjwa ila process ni ndefu sn.
Kavunje mahakamani achana na mambo ya kanisani ww utapoteza muda!
Ninachojua, mahakamani lazima watakurudiaha Kwa viongozi wa dini, wajiridhishe ndipo wataandika talaka.

Hata Bibilia inaruhusu talaka kwenye uzinzi. Yaani ugundue kabisa anatoka nje ya ndoa, ukishindwa kusamehe uko huru kumpa talaka. Viongozi wengine wa dini wanashindwa tu kuitafsiri vizuri Bibilia.

Ila Bib
 
Sijaelewa!

Kibiblia mke akiwa mzinzi unamuacha sasa wewe alishakiri kuwa ni mzinzi na sauti ukazinasa akikiri ukawasikilizisha hao unaowaita viongozi nashindwa kuelewa unakwama wapi kujenga hoja zako mbele ya hiko kikao chenu cha usuluhishi?

Unless useme bado huyo mal.aya unampenda wewe mwenyewe!
 
Back
Top Bottom