Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

Kuna mahali umeni quote vibaya... Kuhusu Mimi kumfukuza sababu ya ndugu... Ni yeye alipohojiwa akasingizia huyo sababu wakati in ya uongo.

Kuhusu kushirikisha dini Mimi ni muumini wa mda mrefu pia nilishawahi kua kiongozi wakati Fulani, zaidi ndoa tulifunga kanisani ivo kufuata taratibu za kanisa sioni tatizo kwakua ndivo nnavyo amino.

Kuhusu maamuzi yangu najua kabisa simtaki na ndio msimamo wangu na vielelezo nnavyo tatizo linakuja sikutegemea kama ntalazimishwa kiasi cha kutishiwa ili nirudiane nae kwa kigezo cha msamaha.

Kuhusu kuzini ni dhambi kama zilivyozingine ila kipindi hichi inanigharimu zaidi kwa sababu ya upweke na stress na ndo mana nataka nimalizane nae ilinipate fursa ya kuoa muda ujao
Shikilia hapo hapo kwenye huyo gia, fukuza kabisa.....kama angekuwa nania ya dhati angeomba msamaha kanisani at first place....sio hadi uende na ushahidi. Kuna ndoa za serikalini pia ,na zinatambulika kisheria.
 
Mkuu bado talaka ndo inazingua na mi nataka kumuoa binti mwenye imani ya kiroho kweli kweli sa nawaza bomani hatokubali mpaka ni clear ili swala ambalo church inaniwekea usiku
Church hawakuwekei usiku ni wewe hujaamua. Ondoka hapo church nenda ngazi ya juu yake...ukifika huko utarudishwa kanisani kwako na itakuwa rahisi. Ila jiandae inaweza chukua hata 4 yrs kumaliza hiyo process.
 
Kuna wakati dini imeeleweka vibaya sababu ya viongozi wa hovyo.

Yesu anasema usimuache mke kama hajafanya dhambi ya uzinzi. Mathayo 5:32.
Hakuna haja ya kupatanisha mke na mume kama mmoja wapo ni mzinzi na yule ambaye ni mwaminifu anataka kuachana naye.
Msamaha ni kanuni ya mbingu, ila nihatari zaidi kulazimisha mme mwaminifu Aishi na mke mzinzi, matokeo yake ni mabaya.
 
Mimi kwa dhambi ya uzinzi siwezi kusamehe aisee, yaani kosa moja tuu mimi natoa RED CARD,
 
Ha ha ha sure nilikua nampenda saana kiasi namchukia sasa.... Pia tuna watoto so haiwezekani kumsahau kabisa na lastly najua nae ananipenda sema umalaya tuu ndo unamsumbua
mnapendana nyie kamata mkeo hamieni kwingine kukimbia nzi maisha yaendelee....maisha ndio haya haya
 
Church hawakuwekei usiku ni wewe hujaamua. Ondoka hapo church nenda ngazi ya juu yake...ukifika huko utarudishwa kanisani kwako na itakuwa rahisi. Ila jiandae inaweza chukua hata 4 yrs kumaliza hiyo process.
Kwenye ndoa wakristo tunateseka saana inabidi waumini tuandamane aseeeh
 
Ndo mana naupenda Uislamu 4 wives m.ke mmoja ni mama ako mzazi tuu ayo mengine mnadanganywa

Tukisema Uislamu ni dini ya haki eleweni kua ni kweli .ona sasa unaingia kwenye dhambi za zinaa
Unajua yakikufika ndo unaona kwenye ndoa uisilamu unagusa maisha halisi
 
Watu wa dini wanawashika sana akili sasa huruhusiwi kuoa kwani wenyewe ndo waowaji..?

[emoji23]
Upuuzi kama huu haufai mambo mengine yaajabu tu!,kuna maamuzi mengine hutakiwi hata kushirikisha watu amua kwa usahihi unaouona atakaekuja kuhoji alistahiri mwambie asipoelewa shauli yake!.
Mkui huyu hajaamua tu kuacha!
Aliyemwabi kanisa linavunja ndoa nani? Hakuna ambae anaitaka hiyo dhambi wote wanakwepa,ndo maana ndoa zinavunjwa mahakamani sio kanisani!
Na maisha yanaendelea, na unafunga nyingine kanisani vzr ,baadhi ya ma kanisa hawana mambo mengi[emoji23]
 
Back
Top Bottom