The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Huyu ameshindwa kujenga hoja zake vizuri ktk imani ya Kikristo hakuna kulazimishwa kuishi na mwanamke aliyeshakiri uzinifu na anasema kabisa alim-recod huyo mkewe akikiri huo ujinga na akawasikilizisha hao viongozi.Hiyo Dini ya kikuristo paka leo sielewi utanilazimisha je ni ishi na mwanamke mzinifu, ataukiwa wewe ni Yesu mwenyewe katika hilo swala nta kugomea tu.
Huyu jamaa anampenda bado huyo mwanamke that's why anashindwa kusimama kiume kumkataa.