Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

Sio lazima umrudie na sio lazima uoe tena. Endelea na maisha yako, mwanamke lazima atajichanganya tuu mwenyewe( kuzaa, kuishi na mtu nk)
Ili wazo pia ngoja nisishindane nao
 
Umeoa malaya deal na maisha yako maana humu wanaume wajf waliniita malaya inaonyesha kuwa haikuwa kweli so Mungu akakupa malaya real
 
Nina mafundisho tofauti kidogo.
Hakuna maandiko yanayomkataza Mkristo ambaye hayuko chini ya sheria kuoa tena baada ya kuachana na mwenzi wake.
Sema tafsiri halisi ya maandiko hupindishwa na watu either kwa kujua au kwa kutokujua.
Math. 19:8-9
Kibali kinatolewa kwa anayetaka kumwacha mwenzi wake ila sharti liwe ni moja tu la uzinzi.
Kuhusu Paul mtume alipokuwa akizungumza kuwa mke huwa kwenye kifungo na haruhusiwi tena kuolewa mpaka afiwe alikuwa akizungumza na Wayahudi akiwatolea mfano wa maisha yao ya kiroho na mifumo ya ndoa zao.
Wayahudi mpaka leo wako chini ya sheria tofauti na sisi ambao Ukristo tumeupata kwa kwa namna tofauti na wao. Hayuko chini ya sheria lakini tunalazimishwa tuzitii sheria na viongozi wa dini.
Oa tu ndugu ila hakikisha huoi wake wawili na zaidi.
Usichepuke pia
 
Kama unachepuka na yeye anachepuka ,, hauna uhalali wa kumwacha mkeo kabisa... Kubali ukatae huo uhalali hauna kabisa hata uwe hauna dini ...
 
Kidogo sasa sana Mungu amejibu maombi yangu wanaume wa humu wanaringaga sana halafu wanatoka kuoa vilaza halafu wanarudi wakiomba ushauri broz pambana na hali yako
ww si ndo ulokuja kulalamika humu kisa hujapelekwa hospitali au sio ww?
 
Mm ni mkristu lakin kuna mda huo upumbavu siukubari. Maana unaweza kukubari kurudiana nae alaf ukajikuta huyo mwanamke kutokana na tabia zake akazidi kukuweka mbali zaid na Mungu wako.
 
Kidogo sasa sana Mungu amejibu maombi yangu wanaume wa humu wanaringaga sana halafu wanatoka kuoa vilaza halafu wanarudi wakiomba ushauri broz pambana na hali yako
Roho yakichawi hio.... Anyway wapo watoto namba D na E wanagombania kulea watoto wangu so hainisumbui...

Nb: simaanishi kufurahia kuvunjika kwa ndoa yangu au mtu yeyote
 
Mm ni mkristu lakin kuna mda huo upumbavu siukubari. Maana unaweza kukubari kurudiana nae alaf ukajikuta huyo mwanamke kutokana na tabia zake akazidi kukuweka mbali zaid na Mungu wako.
Kwasababu ntabaki na kinyongo nae na ndio mwanzo wa nyumba ndogo ama michepuko mwisho maradh
 
Mimi hakuna mpumbavu yeyote awaye mwenye uwezo wa kunizuia kuoa idadi ya wanawake au kuwaacha na kuoa tena, binadamu anauzwa au kuthaminishwa na vitu hana tofauti na mbuzi, kuku etc, butua butua tu. Women are just consumables consume consume until marginal utility.
Wakikusikia wenyewe😀
 
Sio kinyongo tu, ata kuishi pasipo kuaminiana ni sawa na kuacha milango wazi kumruhusu shetani kuingia
Maisha ambayo siyawezi kabisa yaan unakuta watu wanaishi vyumba tofauti sa hio ni ndoa au nn?
 
Back
Top Bottom