Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
- Thread starter
- #241
Sa itakuaje??Lakini kabla ya kuwambia hivyo aliwambia Musa ni sababu ya ugumu wa mioyo yenu aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu, lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sa itakuaje??Lakini kabla ya kuwambia hivyo aliwambia Musa ni sababu ya ugumu wa mioyo yenu aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu, lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.
Mwanamke mwenye asili ya umalaya ni Malaya tuu na aliyetulia I we kiangazi masika atatulia tuuPia wanaume mnakuwa chanzo cha wake zenu kucheat, Wengi wenu mnazururisha sana kwa makahaba huko mpaka wake zenu wanazoea tabia zenu, sass wakichoka wao huingia wazima wazima kwenye cheaters ha ha ha .
Nature inaonesha mwanamke anamadhara makubwa kuliko mwanaumeKwani hiyo gharama ni kwa wanawake tuu?
Mumeo alikusamehe alipokufumania na teja tafadhali usinilazimishe na mm kufanya ivoHilo halijui kiti liache ni likahaba tu ndio kamfungua mke wake kamba yamguu.
Hakuna madhara kwa mwanamke sema wanawake huwa wavumilivu, ndiyo maana hata YESU aliwambia wale waliomfumania mwanamke akizini asiye na dhambi awe wakwanza kurusha jiwe!Nature inaonesha mwanamke anamadhara makubwa kuliko mwanaume
Nb: haihalalishi
Haa haa haa lakini isiwe ndiyo fimbo yakumchapia kisa ni mwanamke mfanyie yalio ya hakiMwanamke mwenye asili ya umalaya ni Malaya tuu na aliyetulia I we kiangazi masika atatulia tuu
Huyo unaedhani hawezi kuuvuka huo mstari uliojiwekea (Mungu), ndiye aliyeruhusu upate hata nguvu za kuandika humu.Kuna mstari kwenye maisha yangu ambao sio dini tu hata Mungu hawezi kuuvuka, naishi mimi.
Huyo unaedhani hawezi kuuvuka huo mstari uliojiwekea (Mungu), ndiye aliyeruhusu upate hata nguvu za kuandika humu.
Namaanisha yupo anaeweza kuingilia maisha yako kwa namna anayotaka.
Kwamba wewe ndo unamtunzia pumzi sio?Sio kweli, ni yeye alinipa haya mamlaka…. kitu namtunzia ni pumzi yake tu.
Wewe hujatulia hata kidogo Muombe Mungu akutolee pepo la ngonoMumeo alikusamehe alipokufumania na teja tafadhali usinilazimishe na mm kufanya ivo
Oa bossy achana na huyu wewe ni wewe yeye ni yeyeNimekuelewa mkuu kidogo umenifundisha nilitaka kuoa kwa kukurupuka kutokana na kupigiwa kelele na jamii kuwa mbona si oi wakati napiga kazi naingiza kipato, imefika hatua kelele zao zinaniumiza mpaka wameamua kunitenga yaani kuishi mikoani kuna tabu yake
Hapana sema wanawake wa siku hizi wanamashindano saanaHaa haa haa lakini isiwe ndiyo fimbo yakumchapia kisa ni mwanamke mfanyie yalio ya haki
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Pepo langu LA ngono ushakutana nalo?Wewe hujatulia hata kidogo Muombe Mungu akutolee pepo la ngono
Mama kusini pwani baba iringaMkeo ni kabila gani
Of course, dini hizi ni usanii mtupu tu.Wanatumia Din kuficha madhaifu yao
Ndio ni wewePepo langu LA ngono ushakutana nalo?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnawafundisha wenyewe, mtu ananyenyekea mpaka anakuwa kama lodi-lofa unajua uvumilivu na wenyewe hufika mwisho.Hapana sema wanawake wa siku hizi wanamashindano saana