Mwanaume ukiwa na kitu hiki hata kama handsome umenikosa

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wengi sana wanavaa saa kifasheni tu na sio kwa dhumuni la kucheki muda. Waelewe tu jamani... zaidi ushapata idea ya zawadi ya kumpatia siku ya Valentine
 
Kwahiyo saa inatakiwa ziwe DIVISION 1 na ziwe zinasoma zimesoma BOARDING
 
Hello,

Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.

Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee

Badilikeni
Hapo vipi?
 
Lugha ya picha hii ila wengi wanazan saa kweli
 
Aisee umeongea maneno linty lakin hujanilenga
 
Wadada ndo wanaongoza kuvaa saa mbovu na zilizokwisha betri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…