Mwanaume ukiwa na kitu hiki hata kama handsome umenikosa

Ila mimi mwenyewe nikimuona mwanaume mwenzangu kavaa saa mishale haizunguki, hua najisikia vibaya sana.
Au saa imepauka mikanda.[emoji3064]moyo huwa unauma sana.

Ni kitu kidogo lakini maana yake ni kubwa, ni bora asivae kabisa
 
You're such a cheap going woman.

Kwahiyo wewe thamani yako ni saa tu inayosoma majira na unapanua mapaja?

Ama kweli wanawake hamjui mnachokitaka na mwalimu wenu ni kipofu.
Wanawake wenye akili za kitoto ndo hawa.
 
Aisee umeongea maneno linty lakin hujanilenga

IMG_0271.jpg
 
Hello,

Sijui kwanini siwezi kuvumilia hiki kitu, wewe unaweza kuona kawaida lakini kiukweli kwa upande wangu inaniboa.

Mwanaume nikimuona hata kama awe smati vipi Halafu kavaa saa ya mkononi haisomi majira aisee

Badilikeni
Inaboa kweli, ila mimi mwanamke anukaye mdomo, chupi, makwapa, kiombi, yaani kila kukicha ni kupiga mizinga tu na hana ishu yeyote ile zaidi ya kupiga umbea......kumamake huyo bora ajiue tu, sitaki hata anisogelee kunisalimia. Akifungua tu domo lake linukalo kunisalimia na nisikie hiyo harufu, haki ya nani namkaba koo na kumtupa huko.
 
Mi saa yangu inasoma majira, je utanipa ile kitu? Kabla ya kunipa baada ya kukuonyesha saa yangu ningependa kujuwa, je unaoga na kujisafisha shemu za siri, unavaa mawigi yanukayo, ipi mdomo wako unausafisha kwa kupiga mswaki....na nguo zako za ndani vipi, hazinuki?
 
[emoji23][emoji23]
 
Vizuri,sio umevaa umependeza halafu saa mkononi haisomi majira
Kuna ornament, acha ushamba basi, kwani wewe mwanamke uko pekee yako au kuna na wanawake wengine. Unajishaua tu nyie mpo wengi sio unaongea tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ah huyu ni mimi kabisa na sina habari ngoja nirekebishe saa Zangu
 
Kuna ornament, acha ushamba basi, kwani wewe mwanamke uko pekee yako au kuna na wanawake wengine. Unajishaua tu nyie mpo wengi sio unaongea tu.

Jiwe Gizani limekupata,cha msingi hapo jirekebishe acha makasiriko
 
Mi saa yangu inasoma majira, je utanipa ile kitu? Kabla ya kunipa baada ya kukuonyesha saa yangu ningependa kujuwa, je unaoga na kujisafisha shemu za siri, unavaa mawigi yanukayo, ipi mdomo wako unausafisha kwa kupiga mswaki....na nguo zako za ndani vipi, hazinuki?

Aisee
 
Inaboa kweli, ila mimi mwanamke anukaye mdomo, chupi, makwapa, kiombi, yaani kila kukicha ni kupiga mizinga tu na hana ishu yeyote ile zaidi ya kupiga umbea......kumamake huyo bora ajiue tu, sitaki hata anisogelee kunisalimia. Akifungua tu domo lake linukalo kunisalimia na nisikie hiyo harufu, haki ya nani namkaba koo na kumtupa huko.

Duuh utagombana na serikali sasa mkuu, kumkaba tena unapita kushoto tu.
 
Saa, cheni, culture, kofia ama urembo wa aina yoyote mimi umenishinda kabisa achia mbali wallet! Nilijaribu kukaa na wallet hahaha tangu nilipo inunua sijawahi ifungua mpaka siku nikajisemea ngoja niifungue niwe viela leo nione hahaha naifungua ndio ina chanika kwa uchakavu na kukauka
 
Back
Top Bottom