Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

Kuna mwanamke akimuona mwanaume wa aina fulani mbele yake tu tayari ameshalowa kitamboooo. Hakunaga formula maalumu mkuu. Ila pesa ni muhimu kuitafuta ili ikupe urahisi wa kutimiza hayo yote. Maana unaweza pendwa ukakosa pesa ya kumtunza au kumpeleka hata Lodge tukiachana na Hotel
Ah wee mwanamke hapendi ata siku moja. Wao wanaangalia urefu wa mfuko wako basi
 
Nyie wenyewe mkiona mwanaume mwenzenu ana pesa mnaanza kujipendekeza na kuwa chawa, wengine ndio wanashindwa kuvumilia wanaliwa donati ili tu naye ale pesa za mwanaume mwenzake.
Eti analiwa nini? 🤣🤣🤣 Donati tena jamani ndio kitu gani hicho? Una msamiati mgumu wewe.
Wapi huko wanaliwa donati na mie niende nikapate pesa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Eti analiwa nini? 🤣🤣🤣 Donati tena jamani ndio kitu gani hicho? Una msamiati mgumu wewe.
Wapi huko wanaliwa donati na mie niende nikapate pesa 🤣🤣🤣🤣🤣
Usiniondoe kwenye upako tasavali😂😂

Em niache😅
 
Hahaa na mkiambiwa nyie ndio wepesi mnakataa, unaona sasa
Wepesi wa nini? Kunyegeka? Mbona hilo mie sibishi. Nikiwa na hela yaani missile fully loaded unataka kutema wadhungu tuu
 
Back
Top Bottom