Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Unaonekana hauna hoja bali ubishi tu.Huwezi kuwa na pesa afu unuke mdomo at the same time, hii haiwezekani
Unadhani huku maofisini hatukutanani nao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonekana hauna hoja bali ubishi tu.Huwezi kuwa na pesa afu unuke mdomo at the same time, hii haiwezekani
Kwa Dunia ya Sasa Hakuna mwanamke anayeweza tamani kuishi na mwanaume asiye na pesa, wewe unabisha tu lakini huu ndo ukweli wenyeweKwangu mie sio ngumu.
Chukua sentence ya mwisho kuwa "money isn't everything"Huwezi kuwa na pesa afu unuke mdomo at the same time, hii haiwezekani
Kwani uliambiwa kila mwanaume anayefanya ofisini atakuwa Ni Ana pesa?Unaonekana hauna hoja bali ubishi tu.
Unadhani huku maofisini hatukutanani nao?
now we are talkingKugegeda ni jambo la asili kwa mwanaume .
Kwamba kunuka mdomo Ni ugonjwa usiotibika sio?Chukua sentence ya mwisho kuwa "money isn't everything"
Kunuka mdomo ni ugonjwa
Chukua sentesi niliyoandika ,"Money isn't everything"Kwamba kunuka mdomo Ni ugonjwa usiotibika sio?
Money isn't everything in all other planets BT not here on Earth!Chukua sentesi niliyoandika ,"Money isn't everything"
Mambo mengine legeza mishipa ya kichwa usichikulie Kila kitu unachokiona serious kama tunajibu NECTA
SawaMoney is everything in other planets BT not here on Earth!
Taarifa,kwenye pesa sio mwenzio aliimba marijani rajabu,huyo mbongo fleva kakopi tuPesa Sabuni ya Roho, Mtu mwenye pesa andika sio Mwenzio. Aliimba Rich One.
Mwanaume Ukiwa na Pesa na una familia Hata ukijieleza unaeleweka na unaonekana ni singoboi kabisa na Unapewa unachotaka.
Kosa Pesa hata Kwenye Ukoo hushirikishwi unapewa tu taarifa na ukihudhuria vikao wanakuletea kinywaji mirinda nyeusi hata bila kukuuliza utakunywa nini.
Wewe Mmakua[emoji23]Chukua sentesi niliyoandika ,"Money isn't everything"
Mambo mengine legeza mishipa ya kichwa usichikulie Kila kitu unachokiona serious kama tunajibu NECTA
Labda ukataliwe kishingo upandesiku utakapokuja kukataliwa na hela zako ndio utajua kweli hukuwa unajua vyote😆😆
100%90% ya wanawake huwa wanakuwa single mwanaume akiwa na mtonyo.
Taarifa fupi ni hii.