Babu yangu alikuwa na nyumba kijijini na Vyumba vichache vya kupangisha dar, income yake kwa mwaka ni k.v tsh million 12, ila alikuwa anakula vibinti vya shule ya msingi, vibinti vya sekondari, wamama, hadi wadada wa chuo, alioa na kumzalisha binti wa miaka 26 yeye akiwa na miaka 54..nikionesha sura yake hapa mtakimbia, mweusi kama tairi na ni mzee wa miaka 77 mwembamba na ana kipara na mvi..
Hii scenario nyie wanawake mnaielezea vipi, mtasema hao wanawake mioyo yao ilimkubali mwanaume mzee mwenye miaka 77, huyu mzee aliwavutia nini mbali na pesa?
Leejay49 To yeye Depal