Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

Ah wee mwanamke hapendi ata siku moja. Wao wanaangalia urefu wa mfuko wako basi
 
Nyie wenyewe mkiona mwanaume mwenzenu ana pesa mnaanza kujipendekeza na kuwa chawa, wengine ndio wanashindwa kuvumilia wanaliwa donati ili tu naye ale pesa za mwanaume mwenzake.
Eti analiwa nini? 🀣🀣🀣 Donati tena jamani ndio kitu gani hicho? Una msamiati mgumu wewe.
Wapi huko wanaliwa donati na mie niende nikapate pesa 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Eti analiwa nini? 🀣🀣🀣 Donati tena jamani ndio kitu gani hicho? Una msamiati mgumu wewe.
Wapi huko wanaliwa donati na mie niende nikapate pesa 🀣🀣🀣🀣🀣
Usiniondoe kwenye upako tasavaliπŸ˜‚πŸ˜‚

Em niacheπŸ˜…
 
Hahaa na mkiambiwa nyie ndio wepesi mnakataa, unaona sasa
Wepesi wa nini? Kunyegeka? Mbona hilo mie sibishi. Nikiwa na hela yaani missile fully loaded unataka kutema wadhungu tuu
 
Upako ungekuwa humu jf unachangianmada za kuvunjana bikra🀣🀣🀣🀣
🀣🀣 Nachangia ili kujifunza zen niwaombee muache uzinzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…